Utanisamee mkuu ila yakawaida sanaHaitofautiani sana na ndoo ya boha[emoji15] [emoji102] [emoji15] [emoji102] [emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
wanaume wenye mkwanja mrefu jf
Kulingana na utafiti wangu binafsi
Tafadhali changia kwa upendo
1.Troll
2.saint ivuga
3.mshana Jr
4.Daby
5.smart911
6.mtimkavu
7.Ontario
8.kikulacho
9.nyani ngabu
10.Gudume
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio bei bali utayari utashi uwezo na nafasi ya kutumia hata kama ni jero
Endelea kuzipuuza,siku zote wivu humuua mtu mjingaNyuzi kama hizi hua sijibu kabisa kwa vile naamini wealth is not about material things and possessions. Lkn sidhani kama ni vzr unapoamka asubuhi na kujiandaa kumtukana mtu usiyemfahamu... Si sahihi boss wangu, tunaweza kuongea na tukaeleweka bila kutukana watu - let's keep it fair.
Lkn ili kujiridhisha tu kua dharau si nzuri ingia google then search - Sirjeff Dennis Forbes.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila umenigwaya sana kule kuna interview ya maserati
itakuwa hawa jamaa hawajapata nafasi ya kukufahamu hata chembe..ila mkuu wapuuze tu hawaNyuzi kama hizi hua sijibu kabisa kwa vile naamini wealth is not about material things and possessions. Lkn sidhani kama ni vzr unapoamka asubuhi na kujiandaa kumtukana mtu usiyemfahamu... Si sahihi boss wangu, tunaweza kuongea na tukaeleweka bila kutukana watu - let's keep it fair.
Lkn ili kujiridhisha tu kua dharau si nzuri ingia google then search - Sirjeff Dennis Forbes.
mkuu umepotea sana muda mwingi sijakusikia..kwema lakini?
Kwema kaka,kuna vijimambo tu havikukaa sawa.ila sasa tutakuwa pamoja sanaa.mkuu umepotea sana muda mwingi sijakusikia..kwema lakini?
mmh! Hayo nashauzi yako ndo maana unawaudhi shilawadu