Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

wanaume wenye mkwanja mrefu jf
Kulingana na utafiti wangu binafsi
Tafadhali changia kwa upendo
1.Troll

2.saint ivuga

3.mshana Jr

4.Daby

5.smart911

6.mtimkavu

7.Ontario

8.kikulacho

9.nyani ngabu

10.Gudume

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo kwa Smart911 hapo heheheee yani yani yani yani oops

Wacha nifunge domo langu mieee!

Mahondaw wa Smart911
 
Nyuzi kama hizi hua sijibu kabisa kwa vile naamini wealth is not about material things and possessions. Lkn sidhani kama ni vzr unapoamka asubuhi na kujiandaa kumtukana mtu usiyemfahamu... Si sahihi boss wangu, tunaweza kuongea na tukaeleweka bila kutukana watu - let's keep it fair.

Lkn ili kujiridhisha tu kua dharau si nzuri ingia google then search - Sirjeff Dennis Forbes.
Endelea kuzipuuza,siku zote wivu humuua mtu mjinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyuzi kama hizi hua sijibu kabisa kwa vile naamini wealth is not about material things and possessions. Lkn sidhani kama ni vzr unapoamka asubuhi na kujiandaa kumtukana mtu usiyemfahamu... Si sahihi boss wangu, tunaweza kuongea na tukaeleweka bila kutukana watu - let's keep it fair.

Lkn ili kujiridhisha tu kua dharau si nzuri ingia google then search - Sirjeff Dennis Forbes.
itakuwa hawa jamaa hawajapata nafasi ya kukufahamu hata chembe..ila mkuu wapuuze tu hawa
 
Mkuu na mimi naombwa kukumbukwa kwenye utafiti wowote,maana hapa na kupachika majina tu.
 
Back
Top Bottom