Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

sipoati kwako option hiyo.. hujaruhusu watu wa ku pm.... nami nlikuwa nataka nikuulize unatumia account gani uniandikiea account yako na majina unayotumia angalau nikutumie 500,000. ya lunch siku ya leo sina pesa so naomba hata hicho kidogo kwa leo upokee
Msg ipi tena? Wewe ndo mwanaume nifate Pm
 
sipoati kwako option hiyo.. hujaruhusu watu wa ku pm.... nami nlikuwa nataka nikuulize unatumia account gani uniandikiea account yako na majina unayotumia angalau nikutumie 500,000. ya lunch siku ya leo sina pesa so naomba hata hicho kidogo kwa leo upokee
Acha kunitamanisha pesa aisee. Kuna watu wapo serious wakija pm wanarusha mapesa..sasa wewe hapa naona kama unanitania vile
 
72a260825ffbafa4e509f0fec0bd54a1.jpg

Hahaha Smart911 my Tajiriiiiii [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]

Mahondaw wa Smart911
Haaaa mahondaw wangu... Duuu... Kaone kwanza...

No comment...
 
Back
Top Bottom