Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

Unapenda kuvuta ganja ya mikoa ipi? Umewah kujaribu ya jamaica? Na unavuta ukiwaje?kuna wanaovuta wakiwa wamevua mashati n.k wanasema ndo inaingia vizuri.

huu utafiti binafsi imeazingatia vigezo gani kwa kiongozi?
 
Sikuwahi kudhania kuna siku msichana wangu wa kazi atanibaka. Nimeumizwa sana.
 
Duh hamna utafiti kama huo, umeoa uwapgia promo jamaa zako, isije ikawa kwasab unawaona online mda mwng ukajua wana mahela ya bando

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Unapenda kuvuta ganja ya mikoa ipi? Umewah kujaribu ya jamaica? Na unavuta ukiwaje?kuna wanaovuta wakiwa wamevua mashati n.k wanasema ndo inaingia vizuri.
wala sijawai vuta ila ni jina langu la tatu
 
Sijui nigeuke golddigger kumbe nashinda na migodi inayotembea humu

IRON LADY!!!!
 
Daby na mtu mzito saint Ivuga jamani mawapenda gafla

IRON LADY!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…