Uwii!Pesa ndefu hivyo. Najua bado hujapata wa kumreplace. Nipo tayari kwa kazi
Teh teeh naona umempaishaa
Hiyo kazi siilazii damu
Mwee! Huyo Gudume mwenyewe anakaa nyumba ya chumba kimoja na analala humo humo na house girl nusu abakwe!
Mkuu utaweza zuia mafuriko ya pm!kama nao wataonesha zao haina shida mi ntawaonesha tu. mi nlishawaambia njaa sina..na ndo maana huwezi sikia natangaza njaa humu hata siku moja..mambo yangu yamenyooka hivi... tena ni barabara ya lami. pesa kwangu si tatizo ,tatizo ni matumizi tu... huwa siwazii kabisa vijicent vidogo vidogo kama 100,000 n.k
Pesa ndefu hivyo. Najua bado hujapata wa kumreplace. Nipo tayari kwa kazi
Simu iliisha chajii[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
DearPesa ndefu hivyo. Najua bado hujapata wa kumreplace. Nipo tayari kwa kazi
[emoji23] [emoji23] jamaa walivyoiunga wakanikata stimuSimu iliisha chajii[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Walituharibiaa lakin ...hivi si nilikuwa wa kwwnza kureplay
Nipo nasubiria nyarakaDah.....
Cc: miss chagga fyi [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji41] [emoji125] [emoji125]
Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App