Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

nitake radhi ..... mimi nina nyumba ya kutosha yenye vyumba vingine vya wageni na sebule uani. kuhusu malazi kwangu si shida kabisa. sema tu yule dada alikuwa na yake.....
Mwee! Huyo Gudume mwenyewe anakaa nyumba ya chumba kimoja na analala humo humo na house girl nusu abakwe!
 
kama nao wataonesha zao haina shida mi ntawaonesha tu. mi nlishawaambia njaa sina..na ndo maana huwezi sikia natangaza njaa humu hata siku moja..mambo yangu yamenyooka hivi... tena ni barabara ya lami. pesa kwangu si tatizo ,tatizo ni matumizi tu... huwa siwazii kabisa vijicent vidogo vidogo kama 100,000 n.k

Mkuu eti wanataka waone salary slip ya house girl!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama nao wataonesha zao haina shida mi ntawaonesha tu. mi nlishawaambia njaa sina..na ndo maana huwezi sikia natangaza njaa humu hata siku moja..mambo yangu yamenyooka hivi... tena ni barabara ya lami. pesa kwangu si tatizo ,tatizo ni matumizi tu... huwa siwazii kabisa vijicent vidogo vidogo kama 100,000 n.k
Mkuu utaweza zuia mafuriko ya pm!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom