Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
[emoji3][emoji3]Kaka shkamo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]Kaka shkamo
..mkuu tuendelee tu kulima iko siku nasi tutaitwa matajiri wa JFJF inamatajiri hewa wengi sana japo kwa hoja wanaonekana wanazo
Shem nakusalimka[emoji137] [emoji137]
Kwani wamesema utajiri wa nini ?Shem nakusalimka[emoji137] [emoji137]
Wewe unakubaliana na hii list[emoji15] [emoji15]
Pambana na hali yakoMarhaba
Mpigie bhasiii
Umeongea kwa machungu sanaYaani daby kwenye list ya matajiri JF yupo, wanaopendwa na wanawake JF yupo, mwenye mvuto na ki smart yupo!!! Acheni u.s.e.n.g.e, nimewavumilieni vya kutosha. Mnapaishana tu!!! Heh
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa wa vile vitu vingine aiseee[emoji38] [emoji38] si wa pesa maana my baby yuko level moja na BahresaKwani wamesema utajiri wa nini ?
Mimi hata sielewi..
Wenye uzi wana maana zao..Itakuwa wa vile vitu vingine aiseee[emoji38] [emoji38] si wa pesa maana my baby yuko level moja na Bahresa
Hahaa...Yaani daby kwenye list ya matajiri JF yupo, wanaopendwa na wanawake JF yupo, mwenye mvuto na ki smart yupo!!! Acheni u.s.e.n.g.e, nimewavumilieni vya kutosha. Mnapaishana tu!!! Heh
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaa ngoja tuwaacheWenye uzi wana maana zao..
Naheshimu mawazo tuu..!
Ooooh!Na mla bata namba moko JFtumia pesa ikuzoeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Edit hapo kwenye namba 2 ni mimi mkuu...wanaume wenye mkwanja mrefu jf
Kulingana na utafiti wangu binafsi
Tafadhali changia kwa upendo
1.Troll
2.saint ivuga
3.mshana Jr
4.Daby
5.smart911
6.mtimkavu
7.Ontario
8.kikulacho
9.nyani ngabu
10.Gudume
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushafika?Pambana na hali yako
Yani ameongea kwa uchungu sanaaa sijui yuko na Hali gani sasa[emoji12]Hahaa...
Usije ukaenda kujirusha ghorofani tuu
Kesho utasikia list ya member wenye mishwambandigo mkubwa [emoji41]Kabisaa ngoja tuwaache
NdiooUshafika?
Muulize kama anataka tiqila atulize atule akili?Yani ameongea kwa uchungu sanaaa sijui yuko na Hali gani sasa[emoji12]