Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,373
- 6,532
KweliiiMkuu mi nasubiri list ya masikini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KweliiiMkuu mi nasubiri list ya masikini
Duhh.... [emoji134] [emoji134]Ila wakae wakijua mwanaume mashine
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] angalia salio la M-PESA fasta unasoma ngapiUje nikuchomee nyama ya mbuzi iliyopigwa dompo na konyagi lazima useme unanioa mtani
Bank statement plz mtani
Haitanoga
Kuna mwingine utajiri wa kufuga misukuleHe he iyaaa utajiri wa nini labda tuanzie hapo.
Naona muhamala umesoma nakuja hapo[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] angalia salio la M-PESA fasta unasoma ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu naomba unitagMkuu hii ni mada ya 3 sasa naona unazungumzia mambo ya jf na member wake vipi hauna uwezo wa kufikiri nje ya hapo?
Sijipendi!? Kwani siku hizi hujui segerea kuna VIPBank statement plz mtani
umetumia trick gani kujua kipato chao kama ni comments wengi humu wana fakewanaume wenye mkwanja mrefu jf
Kulingana na utafiti wangu binafsi
Tafadhali changia kwa upendo
1.Troll
2.saint ivuga
3.mshana Jr
4.Daby
5.smart911
6.mtimkavu
7.Ontario
8.kikulacho
9.nyani ngabu
10.Gudume
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua basi nakuja hapo tumalize kila kitu
Kwa promo hii....mkuu mimi sijui kwa hao wengine ila nahisi kama nlistahili kuwa namba moja maana ...mpaka kuna watu wananishangaa kwa matumizi yangu ya pesa ambazo mi naona ni kidogo tu, naishi peke yangu na nina msichana wa kazi ambaye namlipa tsh 240,000 kwa mwezi kwa maisha ya kibongo sijui kama kuna anayenifikia hapo kati ya hao uliowataja. huyu namlipa hiyo pesa analala kwangu,anakula kwangu na matibabu anapata kwangu.
na utajiri wangu mimi si wa msimu au wa madawa yoyote yale. mimi pesa ninazo yaani hapa ndo kwake. siku nmewaambia wadau kuwa nina TV ya nchi 52 wakashangaa sasa nikaamua kuua kabisa nmenunua TV ya nch 68 nawaalika watu waje watizame mechi za EPL.... nimesikitika sana kuniweka namba 10 wakati huku kwangu ndo pesa zinakoanzia kabla ya kwenda kwenye mzunguko.
anyway hamna noma lakini .... ntawaonesha nina nini na nafanya nini. nlitoa mwaliko kwa watu walio tayari siku ya kesho nataka nichome nyama ya mbuzi ila nataka kujua idadi ya wahusika nijue ni wangapi watakuja kupata nyama choma na vinywaji mkabala wa nyama choma.
Sometimes...
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]GuDume huyo msichana unaemlipa 240,000 ndio aliyekubaka hivi karibu?
ndo huyo ndugu yangu...yaani kumbe namlipa aje anitendee jambo hilo....we acha tu. hawa madada wa siku hizi hawana soni kabisa.