Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

hii yangu siazimishi ni sura ya mtama kwa watoto.. millet for children.. si unaona tabasamu langu? mi sibani pua wala nini kwangu kazi tu..nakulipa tunapiga kazi klila mtu ana shika hamsini zake..ukitaka tena njoo... picha yangu kuna jamaa mmoja aliichukue kuifanya avatar yake nimemshtak sana kwa admins lakini hawajamchukulia hatua yoyote . nimeona isiwe shida nlimwambia basi anitumie namba yake ya simu ili nimtumie pesa kama 500,000 au zaidi ili aiondoe. mpaka leo hajanitumia anasema anahisi mi basha..sasa sijaelewa maana ya basha ni nini.
Hahahha ya kwangu haiazimishwi chukua kwa Gudume
 
Aiseee we Gudume hapana jaman
 
mrembo umeshakula? mi nmechelewa nipo kilimanjaro hotel ndo nakula..nlikuwa na wageni nikaona nile kabisa hapa hapa..kama upo karibu tuwasiliane basi kwa namba yangu ili nimwambie mtu aje kukuchukua..... karibu shunie undugu si kufanana ni kufaana. nifae kwa mvua nikufae kwa jua
Hahahha ya kwangu haiazimishwi chukua kwa Gudume
 
Ohhoooo......[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Basi sawa mkuu, nimesha kuelewa

wknd hii usk alianza kutukana matusi uzi m1 ukweli yule jamaa nahakika99% bwa... angalia vzr alichoandika kwenye huo uzi wako! anadai ulijipendekza...hizo ni tone za mashoga mostly... achana nae
 
Back
Top Bottom