Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

Dah! Tanganyika yangu

2016-04-09-01-21-49-1794067080.jpeg
 
Uzi mwingine ulitaja hadi Makinikia yanayowafanya wawe matajiri, sasa mbona hujataja?

Tutaamini vipi kulingana na utafiti wako?

Halafu JF Founder(Maxence Melo) mbona hujamtaja, au kumiliki hii JF sio utajiri, maana tangazo la TANDABUI linainigiza mpunga saafi tu.
[emoji23] [emoji23] tangazo la tandabui!!
Milo kwa hawa atasubili!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa hapa ndo umefika hii ni ndo sura pendwa.. na si unajua warembo wanapenda sura kama hizi? hivyo nmehisi nawe utakuwa mrembo.. upo wapi mama? una voucher ya kutosha kwenye simu nikupigie au nikutumie hata ya tsh 50,000 ili tuanzishe mawasiliano.
Mie huwa Sipendi watu wenye sura za mama ujue
 
wknd hii usk alianza kutukana matusi uzi m1 ukweli yule jamaa nahakika99% bwa... angalia vzr alichoandika kwenye huo uzi wako! anadai ulijipendekza...hizo ni tone za mashoga mostly... achana nae
Hahhaaahaaaaaa......
Minilisha mkaushia baada ya kugundua kijana anasifa za mchelemchele
 
sasa hapa ndo umefika hii ni ndo sura pendwa.. na si unajua warembo wanapenda sura kama hizi? hivyo nmehisi nawe utakuwa mrembo.. upo wapi mama? una voucher ya kutosha kwenye simu nikupigie au nikutumie hata ya tsh 50,000 ili tuanzishe mawasiliano.
Hahaha
Hiyo hamsini veepe
 
Back
Top Bottom