Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wa IPP
Naomba avatar ya kitoto irudi!Daby ile milioni yangu unanilipa lini?
Mistari ya nini tena wakati unajua tu jibu ni yes?Ewwaaaaaa.......
Tayari nishatupia mistari kule chamber.
Ebu fanya uniletee mrejesho tafadhali..[emoji4] [emoji4]
Tulia rubii leo hakuko kwenye list njoo kwenye list yetu.hhhahahahaahaHe he iyaaa utajiri wa nini labda tuanzie hapo.
unamaanisha utajiri wa kuandika mashairi humu au?wanaume wenye mkwanja mrefu jf
Kulingana na utafiti wangu binafsi
Tafadhali changia kwa upendo
1.Troll
2.saint ivuga
3.mshana Jr
4.Daby
5.smart911
6.mtimkavu
7.Ontario
8.kikulacho
9.nyani ngabu
10.Gudume
Sent using Jamii Forums mobile app
Fedha na busaraunamaanisha utajiri wa kuandika mashairi humu au?
sio hivyo! utajiri kifedha a.k.a makinikiaunamaanisha utajiri wa kuandika mashairi humu au?
Usimsumbue tajiri kwa ka million!Daby ile milioni yangu unanilipa lini?