Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,362
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi ni bei gani au shilingi ngapi? maana mi naona kama bei gani inafaa kutumika unapofanya manunuzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] timu pinzanidont trust those words.
afu ina kalete fimbo
Sawa omi sigara!hivi ni bei gani au shilingi ngapi? maana mi naona kama bei gani inafaa kutumika unapofanya manunuzi
[emoji112]Shikamoo dada
Mpaka uuze sangara.[emoji3] [emoji3] [emoji3]Leta na orodha ya Maskini na sisi tujipige vijembe, hii ina wenyewee
unajuaje km hayupo?
Njoo haraka nakusubiriNgoja nije kukutongoza halafu muda sijatongoza
Hahahahaha kumbe wamekuoneamkuu mimi sijui kwa hao wengine ila nahisi kama nlistahili kuwa namba moja maana ...mpaka kuna watu wananishangaa kwa matumizi yangu ya pesa ambazo mi naona ni kidogo tu, naishi peke yangu na nina msichana wa kazi ambaye namlipa tsh 240,000 kwa mwezi kwa maisha ya kibongo sijui kama kuna anayenifikia hapo kati ya hao uliowataja. huyu namlipa hiyo pesa analala kwangu,anakula kwangu na matibabu anapata kwangu.
na utajiri wangu mimi si wa msimu au wa madawa yoyote yale. mimi pesa ninazo yaani hapa ndo kwake. siku nmewaambia wadau kuwa nina TV ya nchi 52 wakashangaa sasa nikaamua kuua kabisa nmenunua TV ya nch 68 nawaalika watu waje watizame mechi za EPL.... nimesikitika sana kuniweka namba 10 wakati huku kwangu ndo pesa zinakoanzia kabla ya kwenda kwenye mzunguko.
anyway hamna noma lakini .... ntawaonesha nina nini na nafanya nini. nlitoa mwaliko kwa watu walio tayari siku ya kesho nataka nichome nyama ya mbuzi ila nataka kujua idadi ya wahusika nijue ni wangapi watakuja kupata nyama choma na vinywaji mkabala wa nyama choma.