Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

Ontario boya tu musipagawe na forex trading... zile ni nakala tu....

Njaa kama mim tu...

Sent from "La -Vista"
Nyuzi kama hizi hua sijibu kabisa kwa vile naamini wealth is not about material things and possessions. Lkn sidhani kama ni vzr unapoamka asubuhi na kujiandaa kumtukana mtu usiyemfahamu... Si sahihi boss wangu, tunaweza kuongea na tukaeleweka bila kutukana watu - let's keep it fair.

Lkn ili kujiridhisha tu kua dharau si nzuri ingia google then search - Sirjeff Dennis Forbes.
 
List Ya Wanaume Masikini JF.
1. JUAN MOSES
2. JUAN MOSES
3. JUAN MOSES.
Average Joe. Poor Ass Nigga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41][emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
wanaume wenye mkwanja mrefu jf
Kulingana na utafiti wangu binafsi
Tafadhali changia kwa upendo
1.Troll

2.saint ivuga

3.mshana Jr

4.Daby

5.smart911

6.mtimkavu

7.Ontario

8.kikulacho

9.nyani ngabu

10.Gudume

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiweka list ya wavutaji[emoji116] [emoji116]
14bd2d362cb3c466b7ca65774dad4f2a.jpg

Usinikose!!!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Yaani daby kwenye list ya matajiri JF yupo, wanaopendwa na wanawake JF yupo, mwenye mvuto na ki smart yupo!!! Acheni u.s.e.n.g.e, nimewavumilieni vya kutosha. Mnapaishana tu!!! Heh

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha! Mbona povu jingi kaka tulia huna pesa.

Siku zote kizuri kinajiuza , cc mbona tunamawe tumetulia tunausoma mchezo.

Shewai mtoto wa shemdoe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom