Wanaume kushindwa kurudia wakati wa tendo la ndoa!!

EMMABAYA

Member
Joined
Apr 8, 2018
Posts
13
Reaction score
8
Jamani habarini za muda huu, tatizo la wanaume wengi kukumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na kushindwa kurudia katika tendo la ndoa limekuwa miongoni mwa matatizo makubwa karibia dunia nzima, na madaktari wa uongo wamekuwa wakiongezeka kila kukicha, so ili kuwanusuru wanaume katika hili.

Wewe kama mdau una nini cha kushauri, ili kunusuru ndoa ???
 
Wafanye mazoezi na kupunguza kula vyakula vya mafuta .
Yap,, kuna mambo mengne wanakutana nayo kama challenge mfano, ukimwambia apunguze kula mafuta akati mamaa nyumbani ndo anapenda rost,,,, hapo sasa ndo ugum unaanzia hapo
 
Wafanye mazoezi na kupunguza kula vyakula vya mafuta .
Lakini pia kumbuka suala zima la maisha ya sasa, maisha ya sasa yamekuwa yakukimbizana mno.

Hela inapatikana kwa taabu kwa asilimia kubwa ya watu na wahanga wa hili ni hao wanaume, hivyo muda mwingi stress zimewajaa.

Utapata wapi nguvu za kula mzigo ipasavyo wakati unajua una deni la kodi ya nyumba, ada za watoto, mama na baba wanakutegemea na wewe malengo yako hayatimii?

Hili suala ni pana sana na hali itaendelea kuwa mbaya zaidi.
 
Kula mboga za majani! Natunda na mazoezi ya viungo ...
 
Jaman habarini za muda huu,,,, tatizo la wanaume wengi kukumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na kushindwa kurudia katika tendo la ndoa limekuwa miongoni mwa matatizo makubwa karibia dunia nzima,, na, madaktar wa uongo wamekuwa wakiongezeka kila kukicha,,,, so ili kuwanusuru wanaume katika hili,,,,,,

Ww kama mdau una nn cha kushauri,,,ili kunusuru ndoa ???
1. nashauri wanaume wa Dar waachane na kula ice cream na vichipsi waanze kula dona bamia
2.Sirikali ya chama ifanye mpango wa kuagiza "vumbi la Congo" na kugawa bure kwa waathirika wa tatizo hili sugu kama wanavyogawa ARV
 
Nini cha kushaur au unataka tukushaur nn??[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Lakini pia kumbuka suala zima la maisha ya sasa, maisha ya sasa yamekuwa yakukimbizana mno.

Hela inapatikana kwa taabu kwa asilimia kubwa ya watu na wahanga wa hili ni hao wanaume, hivyo muda mwingi stress zimewajaa.

Utapata wapi nguvu za kula mzigo ipasavyo wakati unajua una deni la kodi ya nyumba, ada za watoto, mama na baba wanakutegemea na wewe malengo yako hayatimii?

Hili suala ni pana sana na hali itaendelea kuwa mbaya zaidi.
Vipi mtu akipiga mvinyo kidogo ili kupunguza stress halafu akaifanya ile kazi?
 
Kwani kwenye tendo la ndoa lazima upige 3-0 ndio uonekane mwanaume? Linaweza kuwa goli moja ila la kukata na shoka na kusiwe na haja ya kurudia.

Btw wanaume wabadilishe mfumo wa maisha katika ulaji na ufanyaji wa mazoezi na kuacha michepuko. Mtu ana michepuko 5 na zaidi, ataipata wapi nguvu ya kuwatosheleza wote?
 
Lakini pia kumbuka suala zima la maisha ya sasa, maisha ya sasa yamekuwa yakukimbizana mno.

Hela inapatikana kwa taabu kwa asilimia kubwa ya watu na wahanga wa hili ni hao wanaume, hivyo muda mwingi stress zimewajaa.

Utapata wapi nguvu za kula mzigo ipasavyo wakati unajua una deni la kodi ya nyumba, ada za watoto, mama na baba wanakutegemea na wewe malengo yako hayatimii?

Hili suala ni pana sana na hali itaendelea kuwa mbaya zaidi.

Vipi mtu akipiga mvinyo kidodo ili kupunguza stress ndio apige mzigo?
 
Jamani habarini za muda huu, tatizo la wanaume wengi kukumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na kushindwa kurudia katika tendo la ndoa limekuwa miongoni mwa matatizo makubwa karibia dunia nzima, na madaktari wa uongo wamekuwa wakiongezeka kila kukicha, so ili kuwanusuru wanaume katika hili.

Wewe kama mdau una nini cha kushauri, ili kunusuru ndoa ???
Wewe ni ke?
 
1. nashauri wanaume wa Dar waachane na kula ice cream na vichipsi waanze kula dona bamia
2.Sirikali ya chama ifanye mpango wa kuagiza "vumbi la Congo" na kugawa bure kwa waathirika wa tatizo hili sugu kama wanavyogawa ARV
Wazee mimi nipo gizani VUMBI LA CONGO ndiyo nini?
 
Jamani habarini za muda huu, tatizo la wanaume wengi kukumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na kushindwa kurudia katika tendo la ndoa limekuwa miongoni mwa matatizo makubwa karibia dunia nzima, na madaktari wa uongo wamekuwa wakiongezeka kila kukicha, so ili kuwanusuru wanaume katika hili.

Wewe kama mdau una nini cha kushauri, ili kunusuru ndoa ???
Wewe wastarabu
 
Back
Top Bottom