EMMABAYA
Member
- Apr 8, 2018
- 13
- 8
Jamani habarini za muda huu, tatizo la wanaume wengi kukumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na kushindwa kurudia katika tendo la ndoa limekuwa miongoni mwa matatizo makubwa karibia dunia nzima, na madaktari wa uongo wamekuwa wakiongezeka kila kukicha, so ili kuwanusuru wanaume katika hili.
Wewe kama mdau una nini cha kushauri, ili kunusuru ndoa ???
Wewe kama mdau una nini cha kushauri, ili kunusuru ndoa ???