Lakini pia kumbuka suala zima la maisha ya sasa, maisha ya sasa yamekuwa yakukimbizana mno.Wafanye mazoezi na kupunguza kula vyakula vya mafuta .
1. nashauri wanaume wa Dar waachane na kula ice cream na vichipsi waanze kula dona bamiaJaman habarini za muda huu,,,, tatizo la wanaume wengi kukumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na kushindwa kurudia katika tendo la ndoa limekuwa miongoni mwa matatizo makubwa karibia dunia nzima,, na, madaktar wa uongo wamekuwa wakiongezeka kila kukicha,,,, so ili kuwanusuru wanaume katika hili,,,,,,
Ww kama mdau una nn cha kushauri,,,ili kunusuru ndoa ???
Hiyo ni habari nyingine !tumia vumbi la DRC
Pia akili (mindset)Wafanye mazoezi na kupunguza kula vyakula vya mafuta .
Vipi mtu akipiga mvinyo kidogo ili kupunguza stress halafu akaifanya ile kazi?Lakini pia kumbuka suala zima la maisha ya sasa, maisha ya sasa yamekuwa yakukimbizana mno.
Hela inapatikana kwa taabu kwa asilimia kubwa ya watu na wahanga wa hili ni hao wanaume, hivyo muda mwingi stress zimewajaa.
Utapata wapi nguvu za kula mzigo ipasavyo wakati unajua una deni la kodi ya nyumba, ada za watoto, mama na baba wanakutegemea na wewe malengo yako hayatimii?
Hili suala ni pana sana na hali itaendelea kuwa mbaya zaidi.
Lakini pia kumbuka suala zima la maisha ya sasa, maisha ya sasa yamekuwa yakukimbizana mno.

Na nyie wanawake mtupikie vyakula vizuriWafanye mazoezi na kupunguza kula vyakula vya mafuta .
Wewe ni ke?Jamani habarini za muda huu, tatizo la wanaume wengi kukumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na kushindwa kurudia katika tendo la ndoa limekuwa miongoni mwa matatizo makubwa karibia dunia nzima, na madaktari wa uongo wamekuwa wakiongezeka kila kukicha, so ili kuwanusuru wanaume katika hili.
Wewe kama mdau una nini cha kushauri, ili kunusuru ndoa ???
Wazee mimi nipo gizani VUMBI LA CONGO ndiyo nini?1. nashauri wanaume wa Dar waachane na kula ice cream na vichipsi waanze kula dona bamia
2.Sirikali ya chama ifanye mpango wa kuagiza "vumbi la Congo" na kugawa bure kwa waathirika wa tatizo hili sugu kama wanavyogawa ARV
Fafanua kidogo mama sabrinaPia akili (mindset)
Wewe wastarabuJamani habarini za muda huu, tatizo la wanaume wengi kukumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na kushindwa kurudia katika tendo la ndoa limekuwa miongoni mwa matatizo makubwa karibia dunia nzima, na madaktari wa uongo wamekuwa wakiongezeka kila kukicha, so ili kuwanusuru wanaume katika hili.
Wewe kama mdau una nini cha kushauri, ili kunusuru ndoa ???