Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,042
tatizo hili kwa mabaunsa kule ndio kubwa zaidi, utushauri tufanye mazoezi ya aina gani.Utapaka mpaka lini??? Hyo ni tiba au inabusti tu ... Tufanye mazoezi tu jmn na tule vzr
tatizo hili kwa mabaunsa kule ndio kubwa zaidi, utushauri tufanye mazoezi ya aina gani.
Njoo uone km sitarudia labda pia papuchi kulegea zinatuboa mtu na hogo lako ukiweka mpk unahisi unakibamia matundu gani haya...[emoji125][emoji125]Pia akili (mindset)
Nashauri mkuu wa nkoa hapo dar mh sana Paul Makonda awaagizie vumbi la congo1. nashauri wanaume wa Dar waachane na kula ice cream na vichipsi waanze kula dona bamia
2.Sirikali ya chama ifanye mpango wa kuagiza "vumbi la Congo" na kugawa bure kwa waathirika wa tatizo hili sugu kama wanavyogawa ARV
Hili nalo linachangia...unaingiza kitu wala hakuna hata msuguano...utapiga la pili kwa hisia gani?Njoo uone km sitarudia labda pia papuchi kulegea zinatuboa mtu na hogo lako ukiweka mpk unahisi unakibamia matundu gani haya...[emoji125][emoji125]
Kusema kweli kuna tatizo la **** kukosa mnato linakera mno..! Kimoja tu hamu inaishia hapo.Hili nalo linachangia...unaingiza kitu wala hakuna hata msuguano...utapiga la pili kwa hisia gani?
Kina mama wangeyaelewa haya lawama na migogoro ingepungua,changamoto za kuichosha akili ni nyingi.Lakini pia kumbuka suala zima la maisha ya sasa, maisha ya sasa yamekuwa yakukimbizana mno.
Hela inapatikana kwa taabu kwa asilimia kubwa ya watu na wahanga wa hili ni hao wanaume, hivyo muda mwingi stress zimewajaa.
Utapata wapi nguvu za kula mzigo ipasavyo wakati unajua una deni la kodi ya nyumba, ada za watoto, mama na baba wanakutegemea na wewe malengo yako hayatimii?
Hili suala ni pana sana na hali itaendelea kuwa mbaya zaidi.
Hata ungekula nini na kupiga mazoezi mpaka kifua kiwe kama mat.ako ila kwa maisha haya utachemka tu.Utapaka mpaka lini??? Hyo ni tiba au inabusti tu ... Tufanye mazoezi tu jmn na tule vzr
Yee mwenyewe anajibusti lakini wapiiii....kahamishia hasira kwa mashababi waliozaa na wanawake wengi. Huyo hana msaada zaidi ya yeye kuhitaji kusaidiwa.Nashauri mkuu wa nkoa hapo dar mh sana Paul Makonda awaagizie vumbi la congo
Mkuu umenena vyema kabisa,sanasana ya mwisho hyo..Kwani kwenye tendo la ndoa lazima upige 3-0 ndio uonekane mwanaume? Linaweza kuwa goli moja ila la kukata na shoka na kusiwe na haja ya kurudia.
Btw wanaume wabadilishe mfumo wa maisha katika ulaji na ufanyaji wa mazoezi na kuacha michepuko. Mtu ana michepuko 5 na zaidi, ataipata wapi nguvu ya kuwatosheleza wote?