Wanaume kushindwa kurudia wakati wa tendo la ndoa!!

Wanaume kushindwa kurudia wakati wa tendo la ndoa!!

Ukishaweka tatzo kichwan na ukaliamin bas nguv utapungukiwa kweli
 
Piga matizi ya nguvu.....amka alfajiri kimbia kilometre saba mwezi tu,utapiga kazi hadi mamaa atashangaa
 
1. Mazoezi
2.Pendelea kula matunda
Mf. Matikiti, matango , n.k.
3. Mboga za majani
4. Tangawizi 1×2
5. Kula vizuri, uwe unashiba.
6. Punguza stress, japo ni ngumu sana.
 
1. nashauri wanaume wa Dar waachane na kula ice cream na vichipsi waanze kula dona bamia
2.Sirikali ya chama ifanye mpango wa kuagiza "vumbi la Congo" na kugawa bure kwa waathirika wa tatizo hili sugu kama wanavyogawa ARV
Nashauri mkuu wa nkoa hapo dar mh sana Paul Makonda awaagizie vumbi la congo
 
Njoo uone km sitarudia labda pia papuchi kulegea zinatuboa mtu na hogo lako ukiweka mpk unahisi unakibamia matundu gani haya...[emoji125][emoji125]
Hili nalo linachangia...unaingiza kitu wala hakuna hata msuguano...utapiga la pili kwa hisia gani?
 
Hili nalo linachangia...unaingiza kitu wala hakuna hata msuguano...utapiga la pili kwa hisia gani?
Kusema kweli kuna tatizo la **** kukosa mnato linakera mno..! Kimoja tu hamu inaishia hapo.
 
Lakini pia kumbuka suala zima la maisha ya sasa, maisha ya sasa yamekuwa yakukimbizana mno.

Hela inapatikana kwa taabu kwa asilimia kubwa ya watu na wahanga wa hili ni hao wanaume, hivyo muda mwingi stress zimewajaa.

Utapata wapi nguvu za kula mzigo ipasavyo wakati unajua una deni la kodi ya nyumba, ada za watoto, mama na baba wanakutegemea na wewe malengo yako hayatimii?

Hili suala ni pana sana na hali itaendelea kuwa mbaya zaidi.
Kina mama wangeyaelewa haya lawama na migogoro ingepungua,changamoto za kuichosha akili ni nyingi.
 
Utapaka mpaka lini??? Hyo ni tiba au inabusti tu ... Tufanye mazoezi tu jmn na tule vzr
Hata ungekula nini na kupiga mazoezi mpaka kifua kiwe kama mat.ako ila kwa maisha haya utachemka tu.
Una madeni kibao Kodi ya nyumba, TRA , ada za watoto , marejesho ya mkopo,
Bado nyumbani kwako kuna wageni baba na mama mkwe + shemeji zako wawili na wake zao na watoto na wanasema hawarudi kijijini mpaka kombe la dunia liishe.!!!
Unarudi nyumbani umechoka unakuta madeni ya dukani kwa Mangi yanakusubiri ndo utaishia kuisoma namba.
Bora ukiwa na kichupa chako cha "vumbi la Kongo unapaka siku moja moja unamridhisha mama Njerekela
 
Mbona mnasahau upande wa pili nako kuwa kuna matatizo! Unakutana na k mbovu inanuka au mimaji tupu utagongaje bao zaidi ya moja? Unakutana na dem U18 lkn maziwa yamelala km bibi kizee unawezaje kupiga bao nyingi?
Unakutana na dem kila ukimchezea hata nyege hana yaani yupo kimyaaa km vile gogo unapata wp uwezo wa kupiga goli mbili?
 
Tanzania HAKUNA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME....kuna tatizo la WANAUME KUTOKUWA NA PESA Mwishowe stress zinapunguza utendaji. Tatizo la nguvu za kiume ni uhanithi.
ANAYEBISHA AMPATIE BWANA WAKE 100M uone kina wema nandi na malaya wengine wote mjini watavyokuwa wanagongwa kila siku malaya wa3.
 
Mkuu mimi nikishakamulia moja ndio.kwisha abari..ile kurudia naona kinyaa labda kama nimepiga na kondom ndio inakua sawa lakini baada ya hapo ule utelezi sipendi
 
Kwani kwenye tendo la ndoa lazima upige 3-0 ndio uonekane mwanaume? Linaweza kuwa goli moja ila la kukata na shoka na kusiwe na haja ya kurudia.

Btw wanaume wabadilishe mfumo wa maisha katika ulaji na ufanyaji wa mazoezi na kuacha michepuko. Mtu ana michepuko 5 na zaidi, ataipata wapi nguvu ya kuwatosheleza wote?
Mkuu umenena vyema kabisa,sanasana ya mwisho hyo..
 
Upungufu wa nguv hutokana na kutumika sana sis wanaume..

Tatzo hilo liliwai nikuta kipind flan hiv..yaan nilikua na madem weng ,..unakuta unaingia geto mashine imesimama,akivua nguo tuu ukitaka ingiza inanywea..had nkahis kuna mwanamke kaniroga among hao madem..nkasoma article 1 hiv,.ilishaur kupumzika tendo kwa mda flan ,nkafanya hivo

Nikwel matokeo yalikua chanya.ni 4 yrs nw sjapata tena tatzo hilo...huu ni ushuhuda
 
Kama mashine mbovu unarudiaje kwa mfano !![emoji23][emoji23]
 
Ukweni ni kwamba wanawake huchangia pakubwa kulikuza hli tatizo...unakuta wakati unaoa ulikua unatembeza round3 kwa kua mwanamke nae anatoa ushirikiano

Siku zinavyozid kwenda ushirikiano kwa mwanamke hupungua..mwisho wa siku mwanamke anajisahau kabisa na kukuachia wewe kila kitu

Yan ufike nyumban umechoka upo full mastress..af ukifika mda Wa game umuandae wewe huku yeye katulia anaangalia juu tu..umalize kumuandaa upige game ad amalize ndio wewe ujikakamue umalize

Af ukimaliza anakaa pemben asubir umuanze wewe tena

MIMI NASEMA KUNGEKUA KUNA WEZEKANO WAKUPIGA NUSU ACHILIA KIMOJA NINGEPIGA!

Af unashangaa ikitokea ukiwa ugenini unapiga round za kutosha tu!

Wanawake mjirekebishe sio mnatupigia makelele hapa!
 
Back
Top Bottom