Upungufu wa nguv hutokana na kutumika sana sis wanaume..
Tatzo hilo liliwai nikuta kipind flan hiv..yaan nilikua na madem weng ,..unakuta unaingia geto mashine imesimama,akivua nguo tuu ukitaka ingiza inanywea..had nkahis kuna mwanamke kaniroga among hao madem..nkasoma article 1 hiv,.ilishaur kupumzika tendo kwa mda flan ,nkafanya hivo
Nikwel matokeo yalikua chanya.ni 4 yrs nw sjapata tena tatzo hilo...huu ni ushuhuda