Wanaume kushindwa kurudia wakati wa tendo la ndoa!!

Upungufu wa nguv hutokana na kutumika sana sis wanaume..

Tatzo hilo liliwai nikuta kipind flan hiv..yaan nilikua na madem weng ,..unakuta unaingia geto mashine imesimama,akivua nguo tuu ukitaka ingiza inanywea..had nkahis kuna mwanamke kaniroga among hao madem..nkasoma article 1 hiv,.ilishaur kupumzika tendo kwa mda flan ,nkafanya hivo

Nikwel matokeo yalikua chanya.ni 4 yrs nw sjapata tena tatzo hilo...huu ni ushuhuda
Ulipumzika tendo kwa kipindi cha muda gani? Wiki, mwezi au mwaka mzima?
 
Upungufu wa nguv hutokana na kutumika sana sis wanaume..

Tatzo hilo liliwai nikuta kipind flan hiv..yaan nilikua na madem weng ,..unakuta unaingia geto mashine imesimama,akivua nguo tuu ukitaka ingiza inanywea..had nkahis kuna mwanamke kaniroga among hao madem..nkasoma article 1 hiv,.ilishaur kupumzika tendo kwa mda flan ,nkafanya hivo

Nikwel matokeo yalikua chanya.ni 4 yrs nw sjapata tena tatzo hilo...huu ni ushuhuda
Msaada wa article hiyo tafadhali
 
Back
Top Bottom