Wanaume kushindwa kurudia wakati wa tendo la ndoa!!

Wanaume kushindwa kurudia wakati wa tendo la ndoa!!

Ukweni ni kwamba wanawake huchangia pakubwa kulikuza hli tatizo...unakuta wakati unaoa ulikua unatembeza round3 kwa kua mwanamke nae anatoa ushirikiano

Siku zinavyozid kwenda ushirikiano kwa mwanamke hupungua..mwisho wa siku mwanamke anajisahau kabisa na kukuachia wewe kila kitu

Yan ufike nyumban umechoka upo full mastress..af ukifika mda Wa game umuandae wewe huku yeye katulia anaangalia juu tu..umalize kumuandaa upige game ad amalize ndio wewe ujikakamue umalize

Af ukimaliza anakaa pemben asubir umuanze wewe tena

MIMI NASEMA KUNGEKUA KUNA WEZEKANO WAKUPIGA NUSU ACHILIA KIMOJA NINGEPIGA!

Af unashangaa ikitokea ukiwa ugenini unapiga round za kutosha tu!

Wanawake mjirekebishe sio mnatupigia makelele hapa!

Yaani [emoji109] [emoji109]
 
Lakini pia kumbuka suala zima la maisha ya sasa, maisha ya sasa yamekuwa yakukimbizana mno.

Hela inapatikana kwa taabu kwa asilimia kubwa ya watu na wahanga wa hili ni hao wanaume, hivyo muda mwingi stress zimewajaa.

Utapata wapi nguvu za kula mzigo ipasavyo wakati unajua una deni la kodi ya nyumba, ada za watoto, mama na baba wanakutegemea na wewe malengo yako hayatimii?

Hili suala ni pana sana na hali itaendelea kuwa mbaya zaidi.
Point!
 
Jamani habarini za muda huu, tatizo la wanaume wengi kukumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na kushindwa kurudia katika tendo la ndoa limekuwa miongoni mwa matatizo makubwa karibia dunia nzima, na madaktari wa uongo wamekuwa wakiongezeka kila kukicha, so ili kuwanusuru wanaume katika hili.

Wewe kama mdau una nini cha kushauri, ili kunusuru ndoa ???

Kama umetumia hizi ' Ndude ' zifuatazo:
  1. Mundende
  2. Futu
  3. Kindoki
ambazo kwa bahati nzuri hizo mbili za Kwanza zote zinatokea Congo Kinshasa na hiyo ya Tatu Congo Brazzaville halafu ukashindwa kufanya vyema tendo la Ndoa basi nashauri tu ya kwamba tafuta Jiwe Kubwa jifunge Shingoni ukajitupe katika Kina cha Maji ya Kisiwa cha Bongoyo kama siyo cha Mbudya ili ' Ufe ' tu kabisa kwani utakuwa huna tena faida ya kuishi duniani.

Ubaya wa hiyo ' Kindoki ' ukiitumia Goli zako za huruma kwa uliyenae ni 13 ila kama usipoweka moyo wa huruma kwa jinsi ilivyo ' balaa ' kwa usiku mzima unaweza ' ukamkojolea ' uliyenae mara 37 na usipokuwa makini ukimaliza tendo unaweza kukuta ' Mbunye ' yote nayo imebadili mwelekeo wake wa awali / kawaida kwa Kupinda huku Kiharage / Kisimi nacho kikipotea kwenda kusikojulikana.

Cc: Mama Sabrina, Shunie na Sky Eclat
 
95% ya wanaodhania wamepungukiwa na nguvu za kiume ni psychological problem. Na wapigaji ndiyo hapo wanapopatia umwanya wa kupigia hela .
 
Nguvu za kiume zinaanzia kichwani pamoja na matendo yote. Fanyieni hilo kazi. Dushe kusimama kunaanzia kichwani mpk kazi yote kuisha
 
Wengine wanashindwa kurudia kwa wake zao kwa sababu wamewachoka, wakienda kwa michepuko wanapiga raundi tisa.
 
Wewe una wanaume wangapi uliowafanyia utafiti?
 
sina cha kushauri ila nina swali tu.......kwa hyo nyie mnataka nikishapiga kile cha kwanza nisinywe hata sobo juice au maji???
 
Jamani habarini za muda huu, tatizo la wanaume wengi kukumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na kushindwa kurudia katika tendo la ndoa limekuwa miongoni mwa matatizo makubwa karibia dunia nzima, na madaktari wa uongo wamekuwa wakiongezeka kila kukicha, so ili kuwanusuru wanaume katika hili.

Wewe kama mdau una nini cha kushauri, ili kunusuru ndoa ???
Mkuu

Huwezi ukamaliza pap ukaenda round ya pili, hio haiwezi kani, Inavyo takikana uchukue 5-15 mins mwili kujiweka sawa, then kunahitajika matayarisho tena upya mpaka kuamsha hisia za tendo, kuna baadhi baadhi ya watu round ya kwanza kwenda nyengine ni 5 mins tu, wengine hata 3mins lakini hii kiafya sio nzuri, hupelekea kukojoa damu badala ya shahawa, na unauwa nguvu za ume, jiangalie ulipo kuwa na sasa, utajigundua ulikuwa ukiziumiza nguvu zako kwa papara
 
Back
Top Bottom