sasa si unazipotezea tu, zinakusumbua nini huku hazikuhusu!hapana mkuu mi sina uchu wa kutongoza ila nmeona hiyo kama kero fulani, siishi kwa id za jf....
ila we ni mgumu kuelewa, sisemi kwamba zinaninyima usingizi bali naangalia namna ya social interaction ilivyo na jinsi saikolojia inavyotenga watu kulingana na gender perceptionsasa si unazipotezea tu, zinakusumbua nini huku hazikuhusu!
mkuu hiki kitu kinafedhehesha sana na usipokuwa makini unaweza pata matatizo ya kisaikolojia, maana kitendo tu cha kupigwa sound na mwanaume mwenzako hata kama ni feki inatocha zake na huwa ni mwanzo wa hata kuwa shoga.Ndugu wanabodi kuna hii hali ya baadhi ya wana JamiiForums kutumia avatar za kike ilihali ni wanaume imekaaje?
Kiuhalisia humu hatufahamiani kwa majina halisi ama sura halisi, mara nyingi wanadamu huwa tuna perceive vitu kulingana na kinavyoonekana na kuwa na assumptions fulani juu ya mtu ama kitu.
Mwanaume unapoweka avatar ya kike kama utambulisho wako ( haijalishi real or fake) inawafanya wengi wafikiri kuwa wewe ni wa jinsia ya -KE, hii si nzuri kwani unaweza kushangaa mwanaume mwenzio anaibuka PM kukuomba ama kukuhitaji.
Nini maoni yenu wanabodi?
hivi kwanini unatumia avatar ya kikeWaweke tuu ilimradi hawavunji sheria!!!
Kwa wale wapenda pm watapambana tu na hali zao!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hahaha, na ndio kero yangu haswaaa, lakini kuna watu wanajibu mkato kama vile labda nimewaonea sana hao wenye hizo avatarmkuu hiki kitu kinafedhehesha sana na usipokuwa makini unaweza pata matatizo ya kisaikolojia, maana kitendo tu cha kupigwa sound na mwanaume mwenzako hata kama ni feki inatocha zake na huwa ni mwanzo wa hata kuwa shoga.
huo ni ugomvi nimeuanzisha tafadhali usiuingiliehapo sasa, yaani huwa nashindwa kuwaelewa malengo yao ni nini.
mimi kuna siku jamaa nadhani alipitiwa tu akanifikiria demu akawa ananipiga sound, hadi leo najisikia vibaya mno mtu kunihisi mwanamke.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hahaha, na ndio kero yangu haswaaa, lakini kuna watu wanajibu mkato kama vile labda nimewaonea sana hao wenye hizo avatar
Ni uamuzi wangu!!!hivi kwanini unatumia avatar ya kike
wakati wewe ni dume??