Wanaume kutumia avatar za kike

Wanaume kutumia avatar za kike

Hahaaa... Mkuu
Mimi ni mmoja wapo ambao natumia avatar ya kike,

Sababu ni kwamba hakuna sheria inayosema mwanamke atumie avatar ya kike au ya kiume hata hivyo ukitaka kumfuata mtu pm angalia kwanza akaunti yake isome vyema kwa umakini wala usikurupuke.

Mimi nimepata meseji kama hizo za usumbufu kutoa kwa wanaume lakini huwa sijibu ila nafuta meseji na kuendelea na mambo mengine.

Tatizo watu hasa watz hukariri kuwa I'd ya kike ni mwanamke na I'd ya kiume ni mwanaume ikitokea I'd ya kike ni mwanaume basi hudhani ni shoga sasa kama amemuweka mwanamke lakini ni rafiki yake au ndugu yake au mchumba wake au mama yake au role model wake utajuaje acheni kuishi kwa kukariri,

Jf ni sehemu ya kujifunza mambo mengi muhimu sio kufuatiliana I'd ......

duhhh!! kwahiyo huyo demu mwenye mipaja mikubwa huyo ndo role model wako?? hatari sana
 
Sasa watu wameona maumbile yao Na hisia zao ni ke zaidi
 
Anza na hawa Dada zetu wanaovaa Suruali huku mitaani mjomba.
 
Hahaaa... Mkuu
Mimi ni mmoja wapo ambao natumia avatar ya kike,

Sababu ni kwamba hakuna sheria inayosema mwanamke atumie avatar ya kike au ya kiume hata hivyo ukitaka kumfuata mtu pm angalia kwanza akaunti yake isome vyema kwa umakini wala usikurupuke.

Mimi nimepata meseji kama hizo za usumbufu kutoa kwa wanaume lakini huwa sijibu ila nafuta meseji na kuendelea na mambo mengine.

Tatizo watu hasa watz hukariri kuwa I'd ya kike ni mwanamke na I'd ya kiume ni mwanaume ikitokea I'd ya kike ni mwanaume basi hudhani ni shoga sasa kama amemuweka mwanamke lakini ni rafiki yake au ndugu yake au mchumba wake au mama yake au role model wake utajuaje acheni kuishi kwa kukariri,

Jf ni sehemu ya kujifunza mambo mengi muhimu sio kufuatiliana I'd ......
Ila twende mbele turudi nyuma inatesa kisaikolojia mimi mwenyewe ni mhanga wa wakware wa humu JF kwa gharama ya avatar ya mpenzi wangu
 
Back
Top Bottom