Wanaume kuvaa mawigi/weaving imekaa vipi jamani?

Wanaume kuvaa mawigi/weaving imekaa vipi jamani?

wanaume wa dar bna.hizo ndo side effects za chips mayai.utasikia wataanza kuvaa vikuku na chupi za malesi lesi naza maua km ya alizeti
 
Hahahahahaha lol! husikia vibaya sana kupakua mlima halafu kuubakisha. Ni lazima ukitendee chakula haki yake. 🙂🙂

Kabisa! Hao ndio wale wavulana ambao hata wakila chakula wanabakisha eti wameshiba yaani tabu tupu.
 
Makubwa hayo! ukistaajabu ya Musa utaona ya Bashite, yaani wanaume nini hasa wapendwa kinawasumbua? mie hata mwanamme wakuvaa vi skin jeans hanivutii, mara viji mashati vya modo, ooooooooooooooops! agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Njoo kwangu napigilia mabugaloo na mapensi nyanya
 
Back
Top Bottom