Phlagiey
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,487
- 1,661
Mkuu sema hujatulia tu na kupata mbinu za kuzipata hizo papuchi bure kabisa hata awe mrembo kiasi gani. Ukishajua tu sayansi ya mapenzi kuanzia namna ya kutongoza, kuishi nao pamoja na jinsi ya ku-do utazipata papuchi hata ambazo ilikuwa ni ndoto kwako kuzifikia, unapakua bure naye anapakuliwa bure. Wanaume wasio na ujasiri wa kuwa-approach wanawake cha kwanza huwa anafikiria pesa kwanza kabla ya kumfikia mwanamke, mimi huwa natumia pesa pale inapobidi itumike labda kulipia hotel au lodge na huduma zingine ila sio kulipia papuchi, sijawahi na sitokuja kujaribu kufanya hivyo na na nakula papuchi mpya kila leo. Nawashangaa sana wanaolalamika kuzinunua tena kwa gharama kubwa, katika bajeti yangu ya mwezi au mwaka hakuna bajeti niliyotenga kununua papuchi, mkuu acha kuwaogopa hawa akina dada ni wadhaifu sana kwa suala la mapenzi, wewe jifanye unajua kuwabembeleza hata kwa kuwadanganya tu
Mkuu hilo hata me nakuunga mguu binafsi sija wahi kulipia pochi manyoya tena kuna mwingine huwa mpaka namshangaa ananiambia ye hataki pesa zangu, yani ukiwa na mbinu unawanasa sana tu bila hata kutoa senti moja
Ila siku hizi nimesha amua kutulia na mmoja nimechoka kuruka ruka na wewe vipi mzee mwenzangu unampango gani?