Wanaume kwanini baada ya tendo mnalala na kutuacha wenyewe?

Kila mwanaume lazima achoke na kulala baada ya tendo la ndoa,kinyume na hapo utakuwa hujashugulika vya kutosha.
 
Narud home nmechoka zang
Naku...... Vi 2 nalala zang
Yan nijitese na ucngiz kisa nakusubir ulale maybe kama ww n nmekufanya mafungu ya nyanya Sawa
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mkuuu umetisha unaiacha humo humo iendelee kuchap Kazi za uchunguzi mgodini
 
Mimi kwangu ni tofauti, nikimaliza kumla mwanamke ndio analala ananiacha macho
 
[emoji13] [emoji13] kama haujamzoesha mkeo lazima atie wasi wasi maujanja kam hayo nimepata wapi hapo ndo ninapoanza kutumia utemi sasa
Haha...jaribia kwa mwanamke mwingine tofauti na mkeo.

Ukiona zoezi limeenda poa/vizuri ndo unahamia tena kwa mkeo.
 
Mimi sijawahi kulala hovyo ila wanawake ndo waga wanalalamika nawakomoa maana tukitoka faragha ni mwendo wa show mpaka kieleweke
 
Mbalizi acha kujitekenya halafu unacheka mwenyewe ha ha ha unatupiga fix mchana kweupeee ili tukuone kijogoo
 
kawaida damu inakwenda kwa wingi kwenye sehemu inayofanya kazi sana mwilini
Damu inahitaji oxygen ili kuweza kuisafisha
Kwa hiyo damu inakwenda kwa wingi kwenye uume pamoja na oxygen,ndio maana mwanaume atasikia usingizi kwa kua ubongo unapungukiwa na oxygen na damu
Atalala kwa dakika kadhaa mpaka mzunguko urudi katika hali ya kawaida
 
Naomba mnisaidie hili suala,kwa nini baada ya sex mnalala ghafla na kutuacha sisi tukiwa macho..mnachoka mnakuwa hoi

Hebu tiririka majibu yenu coz huwa nachukia mwanaume anamaliza tu anaanza kukoroma


Tatizo mnatoka na wanaume wa Dar, hao si wanaume jamani....tusemeje mtuelewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…