Wanaume kwanini baada ya tendo mnalala na kutuacha wenyewe?

ni uchovu maana kwenda km 7 kwa bao moja si mchezo, asa fikiria amepiga ngapi. ila sio lazima kulala inategemea na mtu.
 
Ni kwa sababu ya hormone ambayo huwa tunazalisha wakati wa sex inayojulikana kama PROLACTIN so baada ya ku sex hormone hii huwa nyingi kwenye damu hivyo kupelekea usingizi mzito
 
Last edited:
Sio kweli..kama mwanamke akifa kileleni,yeye ndo wa kwanza kusinzia
 
Mkuu unasema panawaka moto utafikir kusex ni adhabu wakat ni kupeana raha...kinachotakiwa umpe raha na sio kusukuma huku ukimuumiza kwa kudhan umekomesha
 
Naomba mnisaidie hili suala,kwa nini baada ya sex mnalala ghafla na kutuacha sisi tukiwa macho..mnachoka mnakuwa hoi

Hebu tiririka majibu yenu coz huwa nachukia mwanaume anamaliza tu anaanza kukoroma
Umewajaribu wangapi?
 
Sometimes unakuta papuchi ni chafu hutamani kuendelea so inakubidi ukorome tuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeehh mkuu kazaaa. Yan mwanamke mpige mashine mpaka anunee ,mtaachana Kinafsi na kimazingira lkn kimwili mtakutana

Kuna demu nilikutana naye 2013 mpaka leo hii ni kaolewa lkn anavyonihitaji uyooo balaaa

Basi tuu cha mtu sio chako !!
 
...Ni uchovu wa bao nilizopiga
maana bao 6 si mchezo ni kama nimekimbia kilomita 6 lazima nichoke
 
Ni hali ya kawaida kwa binadamu wote,hata wanawake waki..huwa wanalala,tena mkoromo wake ni hatari,utafikiri treni...
 
Naomba mnisaidie hili suala,kwa nini baada ya sex mnalala ghafla na kutuacha sisi tukiwa macho..mnachoka mnakuwa hoi

Hebu tiririka majibu yenu coz huwa nachukia mwanaume anamaliza tu anaanza kukoroma
Sasa kufanya tyr nishafanya nisubiri nini?? Au kuna mshahara utatoka pale. Kuchoshana ya nini yote huko
 
Naomba mnisaidie hili suala,kwa nini baada ya sex mnalala ghafla na kutuacha sisi tukiwa macho..mnachoka mnakuwa hoi

Hebu tiririka majibu yenu coz huwa nachukia mwanaume anamaliza tu anaanza kukoroma
mama ukitaka mkesha nione mim mwanaume wa mbombo.
 
Naomba mnisaidie hili suala,kwa nini baada ya sex mnalala ghafla na kutuacha sisi tukiwa macho..mnachoka mnakuwa hoi

Hebu tiririka majibu yenu coz huwa nachukia mwanaume anamaliza tu anaanza kukoroma
Dada inaonesha kila dushe unalijua
 
Naomba mnisaidie hili suala,kwa nini baada ya sex mnalala ghafla na kutuacha sisi tukiwa macho..mnachoka mnakuwa hoi

Hebu tiririka majibu yenu coz huwa nachukia mwanaume anamaliza tu anaanza kukoroma
Baada ya vingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…