Wanaume kwanini baada ya tendo mnalala na kutuacha wenyewe?

Naomba mnisaidie hili suala,kwa nini baada ya sex mnalala ghafla na kutuacha sisi tukiwa macho..mnachoka mnakuwa hoi

Hebu tiririka majibu yenu coz huwa nachukia mwanaume anamaliza tu anaanza kukoroma
Sio wote.. Tanzania kuna wanaume karibia 20m kati yao wajaribu hata wanaume 1000 utaelewa kwamba sio wote wapo hivyo
 
kazi ngumu mchan kutwa usafiri shidaaa,unafik hom umchokaa mke kavaa dela la zantel chafuu ham inaish usiku unfny kutimiza wajibu tu kumb mkeo kapigwa mashine sio mda unaingiza mkuyenge unateleza unashndwa kujishkilia unakufa basi
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji24][emoji24]
 
Kama mwanamke gogo kwnn nisilale mausingizi unakuta jitu limekaa kama sanamu la posta linakutazama tyu wewe unahangaika
 
Naomba mnisaidie hili suala,kwa nini baada ya sex mnalala ghafla na kutuacha sisi tukiwa macho..mnachoka mnakuwa hoi

Hebu tiririka majibu yenu coz huwa nachukia mwanaume anamaliza tu anaanza kukoroma
Swali lako la kitaalamu zaidi na linahitaji mtaalamu kujibu
 
ndio maana katika kila mchezo huwa kuna muda wa mapumziko
usijali hizo ni daika 45 za mwanzo bibie usihadaike na kukoroma
akishtuka alfajil atakua anamalizia daika 45 za mwisho
 
Usipokojoleshwa lazima uchelewe kupata usingizi na unaweza kesha mpaka asbh bila usingizi. Ukikojoleshwa mara tatu nakwambia utadhani umekunywa piriton utalala pale pale, Ukiambiwa ugeuke usiku muanze game lingine huna hamu lazima uombe po
 
Karibu kwangu shoo mpaka kuchele hakuna kulala... Utalala wewe kwa dozi
 
Sawa yawezekana ndio unakutana nayo,..nijuavyo mimi, sisi wanaume kumuacha mwanamke macho alafu wee uchape usingizi.

Huo ni utov wa nidhamu na matumizi mabaya ya Rasilimali.
Ahaa rasilimali gan hyo jmna mwee aka be
 
nna kanuni yangu inasema

95% care before sex plus 100% care after sex = total satisfaction

haijawahi kuniangusha huwa hadi naitwaga alejandro kwa sababu ya hicho kikanuni
 
Naomba mnisaidie hili suala,kwa nini baada ya sex mnalala ghafla na kutuacha sisi tukiwa macho..mnachoka mnakuwa hoi

Hebu tiririka majibu yenu coz huwa nachukia mwanaume anamaliza tu anaanza kukoroma
Labda hao ulokutana nao wewe embu siku njoo kwangu uone kama nitalala
 
Naomba mnisaidie hili suala,kwa nini baada ya sex mnalala ghafla na kutuacha sisi tukiwa macho..mnachoka mnakuwa hoi

Hebu tiririka majibu yenu coz huwa nachukia mwanaume anamaliza tu anaanza kukoroma
Kwa sababu ya mabwawa yenu si unajua tena ukiogelea sana ..
 
Aisee mwanaume kulala gafla aisee labda alichoka otherwise kosa kubwa ke anasuguliwa akimaliza tu wengine hata kunawa huwa hawezi usingizi unampitia gafla nguvu ya kupiga story hawz pata hiyo ni kama umefanya kazi ya kiume ipasavyo mana mwanamke kukutunuku papuchi ni kama umepewa uwaziri na jpm lazima ujitume to the maximum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…