Wanaume kwanini baada ya tendo mnalala na kutuacha wenyewe?

Sababu zipo nyingi ila huenda wewe hujishughulishi kwenye mechi unamwacha achezee kiwanja atakavy. Hivyo atachoka sana huku wewe ukingojea goli tu. Pili, kumbuka wale wadhungu hutokea mbali sana hadi kuja golini. Wataalam husema ni kama mtu kukimbia km 5 mbio za marathon me atoapo goli 1. Wewe ni churuzi tuu tiyari. Lakini me anayeenda goli 2 na zaidi huwa anamsumbua sana ke.
 
Wewe naona unawazungumzia bwana zako wanaume wa mikoani hatupo hivyo
 
Nachojua mimi ukisex na mwanamke then baada ya tendo ukaona hajasinzia hata sekunde 10 hujue hapo hujafanya kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…