wanaume kweny ubora wetu

Kiziwanda chema

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
288
Reaction score
478
Utakuta Mama mwenye nyumba anajipodoa na kioo kilivyo hakidanganyi Kweli anapodoka
Anashinda saloon kujipodoa
Style tofaut za urembo wa nywele,
Lakini house girl hata mafuta usoni hapaki lakini akipita na khanga yake moja tuu nyumba inatetemeka
Huu mchezo hautaki mekapu
 
Mkuu genye kitu kibaya saana...unaweza ukapita na ke baadae ukikaa ukatafakari unahisi kutapika
 
Hatari sana

Weka mbali na watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…