Wewe umepwaya, ungechukua maua yako kwenye yale yanayokufaa, hili ukaliacha.
Please learn from and listen to men who understand how harsh life can be for children and recognize the importance of stepping up to support an innocent child.

Siyo lazima kuwa step dad, ni moyo wa mtu tu.
 
Ambapo panafaa nimechukua maua lakini haimaanishi ambayo hayafahi yafumbiwe macho. Hata kuwa shoga ni moyo wa mtu je tufumbie machp vitendo vya kishoga?

Haya unayaongea kwa mtazamo wa kuilinda jinsia yako lakini nina uhakika kabisa hata wewe mwenyewe ugundue mtoto wako wa kiume yupo mbioni kuoa single mother hautakubali/hautafurahia.

Mnavyotoa izo sifa muwe mnafikiria zikiingia kwenye familia yako upo tayari kuzipokea? Ukisema kitanda hakizai haramu fikiria je kaka ako akibambikiwa mtoto utachukulia vipi iko kitendo?
 
Mimi nakukumbusha tu kijana wangu. Huyu mwanamke wa kisasa unaemuonea huruma na kumpigania hapa, utakapofika wakati wewe umeingia kwenye mtego wake au anatakiwa kuchagua kimoja kati ya wewe au masilahi yake tambua kwamba hatakua na huruma kama hii ya kwako. She will stand firm and determimed to embrace her selfishness or to fvck your life ruthless
 
Kiongozi, mimi nina watoto wa kiume wawili. Mwanangu yoyote akileta msichana nyumbani ambaye ana mtoto na baba wa mtoto hayuko kwenye maisha ya huyo mtoto. Nitafurahi sana akiniambia ameamua kubeba majukumu ya kumsaidia popote anapoweza, na kama hajafanya hivyo nitamsisitiza afanye.

Hiyo ni sadaka mkuu, watoto wanateseka kwa sababu ya migogoro ambayo hawakushiriki kuitengeneza. Hata kama mama ana makosa, haimaanishi mtoto hastahili malezi na inabidi aadhibiwe na kulipia madhambi ya mama yake.
 
Your browser is not able to play this audio.
🎼🎼KAMZIKI KIDOGO KWA AJILI YAKO Th49
 
MaJuzi bhana nikapata single mother tukaanza mahusiano akaniambia mtoto wake anaishi kwa mama mkwe na amezaa akiwa na miaka 17, punde si punde nasikia kijana kajinyonga Baada ya kuambiwa mtoto sio wakeπŸ˜…πŸ₯Άfather nimekimbia mita Mia sijaangalia nyuma

Demu Leo anapigaπŸ˜…sku ya nne spoke simu
 
Unatetea ni wewe mbona unaleta ukike babu kaza basi,
Hivi wewe ni kipofu, masikio huna
Matukio ni mangapi? Yanayogharimu maisha ya vijana

Ni heri nianze kupata watoto na mnywa p2 lakini sio single maza
 
Lipumbafu hilo linajifanya tetezi la retired hoes
 
Umakini ni lazima huwa wako hivo.
 
Unatetea ni wewe mbona unaleta ukike babu kaza basi,
Hivi wewe ni kipofu, masikio huna
Matukio ni mangapi? Yanayogharimu maisha ya vijana

Ni heri nianze kupata watoto na mnywa p2 lakini sio single maza
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mambo ya kuruka mkojo na kukanyaga mavi....
 
Lipumbafu hilo linajifanya tetezi la retired hoes
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… niko mguu pande mguu sawa lazima niwe na interest na kote kwa malezi ya watoto, mwanaume unavo zaa nje yaani kataa ndoa kuna namna unaminya haki za watoto.
Kuhusu single maza sitetei sana, maana akili ya single maza huwa ina mambo mengi kama waanua maturubali kwenye matanga leo shughuli hapa kesho pale maana wanahama hama kwa wanaume.
 
Baba wa watoto yupo wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…