Umeandika English nyingi lakini unaonekana Bado Hauna misuli kama ya wanaume kamili, you are not yet matured
 
Mimi mwanangu wa kiume akileniletea single mother eti ndio mke ilo suala sitakubaliana nalo.

kama akiamua kumuoa ni maamuzi yake lakini mimi siwezi kukubali na nitamueleza wazi iyo ndoa yao siitambui na sitashiriki kwa chochote.

Single mother ni laana na siwezi kukubaliana na laana iingie kwenye kizazi changu, ni bora nijiweke pembeni ijulikane sijashiriki iyo dhambi.
 
Basi sawa boss, kama wazazi tukubaliane kwamba tunatofautiana kimitazamo.
Nakuombea kijana wako akuletee mkwe unayemtaka!
 
Umeandika English nyingi lakini unaonekana Bado Hauna misuli kama ya wanaume kamili, you are not yet matured
Kama kuwa matured ndio kushusha class yangu na kukubaliana na reckeless life ya mwanamke basi acha niendelee kuwa immatured
 
Asante kwa ujumbe mzuri lkn tunafaham majukumu yetu
 
Kuna sababu za usingle mother angalao unaweza kutumia busara na kuzipotezea, mfano baba mtoto amefariki au mwanamke alipewa mimba akiwa mdogo mfano iyo miaka 17 maana bado akili haijakomaa vizuri kwaiyo ni rahisi kudanganyika. Lakini hawa wanaopewa mimba yakiwa 20+ kwa sababu ya umapepe wao kaa nao mbali, haya ni kwa ajiri ya hit and run tu sio kufanya nao maisha
 
Natamani nitume Ata voice note mkuuπŸ₯Ά
 
Akhsante sana binti Theresa49 .
 
Hapo ndio unakuja vizuri sasa mwanamke wa 23+ mwenye amepewa mimba na huo umri huyo ni wakumkwepa wengi wanakuwa matured na walishindwa kuishi na mwanaume.
Miaka 14 mpaka 19 tuwaonee huruma kwa kweli, they were teenegers.
 
Kwenu labda ujue mimi nimefundisha shule miaka kadhaa hao unaosema ni teenagers 14-19 wana mambo makubwa mzee sio poa
 
Hapo ndio unakuja vizuri sasa mwanamke wa 23+ mwenye amepewa mimba na huo umri huyo ni wakumkwepa wengi wanakuwa matured na walishindwa kuishi na mwanaume.
Miaka 14 mpaka 19 tuwaonee huruma kwa kweli, they were teenegers.
Kwa dunia ya sasa labda wa 14-16 ndo tuwasamee, wengi wanakuaga o-level bado wapo chini ya uangalizi wa baba na mama kwaiyo ikitokea kapata mimba basi kadanganywa na bodaboda, mwalimu au mwanafunzi mwenzake ila wa 17-19 hao wanasoma bweni a-level, wapo chuo(kwenye certificate au diploma) au shule imewashinda wapo tu home, hao hawafai mzee mwenzangu nenda kitambaa cheupe wamejaa kibao wanauza mpaka mtandao pendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…