Wanaume leo nawafundisha kanuni rahisi ya kutunza hela

Yes kama unaingiza laki nane kwa siku na wewe matumizi yako kwa siku ni chini ya elfu arobaini. Unaweza weka laki sita ( hii inakuwa un disturbed )then laki mbili ikawa inatumika kwenye mambo mengine na kula bata inawezekana pia
 
sasa laki 8 kwa siku wee si boss kabisaa.. shida wale wa kutegemea apate mshahara mwisho wa mwezii yanii kuweka akibaa ngumu sanaa
 
20/80
 
Nilipo maliza chuo nilikuwa naingiza hiyo na zaidi kwa siku( I was doing some business enzi za Jk) lakini nilikuwa natumia vibaya sana sikuwa naweka akiba
 
Laki nane kwa siku!!?? Mheshimiwa LIKUD hiyo ni biashara gani
 
Post haiwezi Kukubalika kwa Members mpaka Uisindikizie na Brand ID ya Mbarikiwa vingi na Mwenyezi Mungu GENTAMYCINE.
 
Nimetoa mfano halisi mkuu. Character yako ina shabihiana na mfano wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…