Wanaume leo nawapa ukweli mchungu: Hakuna mwanamke asiye na mchepuko

Mtu kutumia kiungo chake cha siri kumpa amtakaye haijawahi kuwa jinai.

Kabla ya kuwa pamoja ilishachapwa haiwi ajabu ikichapwa ukiwa naye

Mbona kuna mambo mengi sn ya kufanya kuliko kumfikiria mtu mzima mliyekutana ukubwani?

Cheating zilikuwepo tangu enzi za manabii, leo wewe usichitiwe umekuwa nani? Uwe tajiri uwe masikini utachitiwa tu na maisha yataendelea
 
Unakuta mtu ameoa ana wivu kwa mke wake balaa, anagombana nae, anagombana na wanaomdukua, stress kibao. Ukioa fahamu kuwa hutamla mkeo peke yako maisha yako yote, relax tu acha ugomvi na visa
 
Kwa kuwa yeye ndiyo anatafunwa basi ni shida zake cha kuhakikisha tu ASIJE KUKUTWA NA BWANA PEPSI MAANA WAHENGA WANASEMA SIKU ZA MWIZI NI 40.
 
Yeye acheat tu ila siku nikigundua ndo mwisho huo, sitarud nyuma.

Na uzuri mwanamke aki cheat wanaume hua tunajua tu hata iweje hua tunapata mashaka kwa matendo yenu.

Na mwanamke hapendi watu wawili kwa wakat mmoja.
Akiamisha mapenz kwa mchepuko, mwanaume nitaziona tu dariri
 
Kama sio mwanaume wa ndoto zake kwa nini asiwe na mchepuko?

Kiuhalisia wanawake ni waaminifu linapokuja suala la mahusiano hasa wakiwa na wanaume wanaowapenda.
Tena kama hujampiga matukio ni ngumu mwanamke kukusaliti.
Jichanganye,mimi sasaivi nikimuona mwanaume anajifanya anamuamin kiumbe mwanamke namuona boya sana anajifariji tu,awa raia wasikie tu kwenye redio
 
Jichanganye,mimi sasaivi nikimuona mwanaume anajifanya anamuamin kiumbe mwanamke namuona boya sana anajifariji tu,awa raia wasikie tu kwenye redio
😂😂 Pole mkuu subiri na sisi tupigwe matukio ndo tutakuamini
Matatizo yako ni yako na huyo demu wako mjinga mjinga-Yes mwanamke si kiumbe cha kuamini ila kikingeuka ndo hivyo tena, kila rangi utaiona. Kwa mbaali naona kwa manzi angu tatizo tu anaona kabisa akifanya ujinga hatakuwa na second chance kwenye maisha yangu anabaki mpole licha ya ukorofi wangu na kutojali kwangu, yaani haelewi nataka mahusiano ama sitaki🌚GHOST
 
Mtakufa kwa presha usiyoyajua usiyafukunyue....
Na wanawake waaminifu wapo wengi tuu mbona...
 
Tabia yako unapoifanya tabia ya wote, utakuta mwizi naye anasema hakuna mtu anayeweza kuishi bila kuiba,mlevi naye hovyohivyo ni bora ukajua unachofanya sio sahihi kuliko kupotosha wenzako.
 
Mama yako anachepuka , asante.
 
Haya ndio madhara ya kuoa mwanamke ambaye sio bikra. Yaani amefunuliwa nguo na wanaume 20+ halafu wewe unaweka ndani tena kwa sherehe. Tubadilike.

Oa mwanamke bikra, mwenye maadili. Ona huyu anavyosifu, kwa sababu hakuolewa bikra. Natafuta Ajira
Very true, how come unafunga ndoa kwa sherehe na mahari wakati hana bikra.
Mbaya zaidi ukiona mwanamke anakuomba kadi za kuwapa marafiki zake au anakwambia nalipia kadi kadhaa jua ndio wanaume wake wa zamani na aliyemtoa bikra lazma awepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…