MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Wanawake ni ngumu sana kusaliti, ni malaya tu ndo wenye iyo tabia
Safi kabisa...wee vitu ushafanya huko kabla ya ndoa umeolewa eti uanze kuhangaika Tena Ili ugundue nini?Nisha cheat before marriage hakuna jipya,kuendekeza umalaya tu
Si ndo hapo Sasa...mimi Huwa nasikitika(ga)sana kuona wanawake waliopo kwenye ndoa wanacheat waume zao,kama humpendi mtu uliolewa naye wa nini?huyo itakuwa Kuna stage aliruka labda mwenzetu alivyomaliza chuo akaenda kuolewa moja Kwa moja Sasa Kuna vitu hajawahi kufanya kabla ya ndoa ndo anavifanya kwenye ndoaKuna watu hawana uoga wala hawaheshimu agano walilofunga mbele za Mungu,jamani mimi nikifikiria kuvua nguo kwa mwanaume ambaye si mume wangu nachoka kabisa, hapo masikini ya Mungu mbaba wa watu ukute yupo anapambana kukutafutia maisha mmmh hapana wacha nionekane niko nyuma ya muda huo usasa wa huyu mleta mada siuwezi
Kwa kweli karuka stage!na anajisifu kabisa eti mara tatu!yaani mtu na akili zako ukawavulie nguo wanaume watatu tofauti na mumeo nachoka mimiSi ndo hapo Sasa...mimi Huwa nasikitika(ga)sana kuona wanawake waliopo kwenye ndoa wanacheat waume zao,kama humpendi mtu uliolewa naye wa nini?huyo itakuwa Kuna stage aliruka labda mwenzetu alivyomaliza chuo akaenda kuolewa moja Kwa moja Sasa Kuna vitu hajawahi kufanya kabla ya ndoa ndo anavifanya kwenye ndoa
Wewe bwana hapo hamna hata moja la maana unless ungeniambia mume wako HANA HELA!....Mwanamke uliyeolewa kama mume hakutunzi sawa,ila hakikisha huo mchepuko unakava vizuri matunzo uliyokosa huko kwa mumeoJibu maswali yangu haya bila kupepesa:
1. Je mumeo ndio anavutia kuliko wanaume wote unaokutana nao ?!
2. Kwa nature ya magubu ya wanawake acha kupretend hapa hakuna faiea ya kupretend hili ni jukwaa huru, Je mumeo hajawahi kukukwaza ukatamani kumlipizia ?!
3. Je haujawahi kua na fantacy katika tendo ie wild sex, big juju hurt me, all night ride, smuggle sex etc ambayo mumeo hana uwezo wa kukidhi ?!
4. Umri wako ni gani ?, kwamba umelala na huyo mumeo maisha yako yote. Haujawahi kua na x ? Kwamba mumeo ndio sex partner bora kuliko max wako wote ?!
5. Kua muongo kunakunufaisha nini ?
Na hii ndo Dunia ya Sasa na usasa wake na watu wanaona kawaida tu ptuuhh...sijui watoto wetu itakuwaje wooii🙆Kwa kweli karuka stage!na anajisifu kabisa eti mara tatu!yaani mtu na akili zako ukawavulie nguo wanaume watatu tofauti na mumeo nachoka mimi
Je kwa mtu ambaye haamini habari za Eva, Adam na Mungu unamsaidiaje aamini maneno yako? Maana kuna wengine ukianza hizo stori za Eva sijui Adam watakuona mwehu kabisaNDIO MKUU NI WOTE, kiasili mwanamke sio mtiifu ni muasi ndio maana unaona Eva alikua wa kwanza kumuasi Mungu, kama mwanamke alimuasi Mungu wewe ni nani asikuasi.
Ndani yako una roho ya Jezebel. Unatumia Biblia kujustify uzinzi. As if ni sawa mnachokifanya?! Kweli ndio maana makanisani ndio mpo wengi. Mnajua mnayoyafanya sirini.NDIO MKUU NI WOTE, kiasili mwanamke sio mtiifu ni muasi ndio maana unaona Eva alikua wa kwanza kumuasi Mungu, kama mwanamke alimuasi Mungu wewe ni nani asikuasi.
Ujumbe umefikaHuyo mwanamke unaemuamini sana, unampenda sana na anakupenda sana huyo huyo lazima anae mchepuko wake. (Ukibisha haibadili ukweli)
kiasili mwanamke sio mtiifu ni muasi ndio maana unaona Eva alimuasi Mungu, kama mwanamke alimuasi Mungu wewe ni nani asikuasi ?!
Huyo huyo ambae haujawahi kumkuta hata na chembe ya ushahidi nakwambia wazi anae mchepuko au alishakua nae au hata kua nao. (Ukibisha ni sawa maana hauwezi kupata ushahidi wowote)
Wanamake wako makini sana sana katika kuficha michepuko nadhani ni kutokana na asili kwamba uzinifu ni kosa kubwa sana akifanya mke wa mtu ndio maana pia wanamake hua wako makini sana sana.
Mbinu za wanawake ni nyingi na zinatofautiana kulingana na mazingira. Wanawake tuna fantacy nyingi na moja wapo ni kumcheat mume na asijue.
Ngoja nikwambie sisi wanamake ni mabingwa wa maigizo na siku inachapwa na mwanaume mwingine katu huwezi kujua wala kuhisi. Na hiyo inamuongezea raha mwanamke.
Mimi mwenyewe hapa ukimwambia Mr wangu kuwa nilishamcheat atakukatalia kata kata hata jua lishuke ardhini lakini ukweli nishamcheat mara 3 yes mara tatu na hakujua na hata kuja kujua.
Nimekua naona humu wanaume mnavyojishaua mkidhani nyie pekee ndio mna cheat, aise sisi pia tuna cheat tena zaidi yenu LAKINI TOFAUTI NI HATUBWABWAJI KAMA NYIE.
Kama unanibishia mfuatilie mkeo anza taratibu na usijidanganye kwa kufuatilia simu yake tu. (Kama huna roho ngumu tulia mlee watoto lakizi ukijua K yake hua inachapwa).
Fuatilia mienendo yake hata kitu kidogo weka mashaka akienda kusuka kua na kamashaka, akienda kwa rafiki au ndugu weka mashaka kidogo fuatilia akienda kulipia kingamuzi kwa wakala weka mashaka fuatilia kimya kimya kweli alienda hapo tu.
Simu yake ina hitilafu anataka aipeleke kwa fundi weka masha ichukue tazama hiyo hitilafu asikuletee ujinga.
Je kuna simu ilipigwa wrong namba weka mashaka, kuna kitu aliletewa na rafiki yake anataka kukirudisha weka mashaka, anaumwa kaenda hospitali weka mashaka, kuna rafiki yake amechukizana nae na kufokeana kwenye simu anataka "akamchambe" weka mashaka.
Kuna mwammaume eti anamsumbua na amekwambia weka mashaka huyo ni mchepuko wake wamezinguana ila mwanaume kinganganizi,
Alienda sehemu na akatumia muda mwingi sana na aliporudi amekwambia alidondosha nauli ya boda kwa hiyo akatembea kwa miguu weka mashaka unachezewa michezo.
Saloon umeme ulikatika hivyo akachelewa kutengeneza nywele weka mashaka, anakupa simu uangalie kitu labda kichekesho fulani alafu anakuacha nayo weka mashaka hapo anakuset umwamini yeye ni msafi ila tayari mipango yake ashaiweka sawa.
Wale wa kishua sasa, Netflix yake inasumbua anataka akatazame kitu kwenye simu ya rafiki yake weka mashaka, alinunua kitu ila delivery hajafika labda kapotea ngoja amfuatilie mkuu weka mashaka,
Kila jumapili anakwenda kanisani lakini wewe hauendi si ndio, una uhakika wamasaa yoje 4 anakua kanisani usiseme anaendaga na watoto acha hiyo argument ya kijinga.
Amesahau kitu kazini ngoja arudi akatitafute haaa ha weka mashaka, alikwenda kwenye vikao na badae simu ilizima charge weka mashaka,
Gari yake imeharibika amekupigia anaweza kuchelewa mwambie akupe location umemrequestia bolt inayokewea na fundi kurekebisha, na bolt ikifika apande impeleke nyumbani gari italetwa na fundi.
kwanini una justify kirahisi ivyo mana kiuhalisia kwenye familia mmmoja ndo hubebeba baraka za familia pakiwa na upe ndo,amani na uvumilivu Mungu hubariki. kiufupi kama ni Malaya ni Malaya tu no way out. kunguru ni kunguru na njiwa atabaki kuwa njiwa siku zote no matter what refer wazazi wetu.Wewe bwana hapo hamna hata moja la maana unless ungeniambia mume wako HANA HELA!....Mwanamke uliyeolewa kama mume hakutunzi sawa,ila hakikisha huo mchepuko unakava vizuri matunzo uliyokosa huko kwa mumeo
Hakuna kipya ulichoandika. Sisi wenyewe tunachepuka na wake za watu kwanini nijipe moyo wangu hachepuki?Huyo mwanamke unaemuamini sana, unampenda sana na anakupenda sana huyo huyo lazima anae mchepuko wake. (Ukibisha haibadili ukweli)
kiasili mwanamke sio mtiifu ni muasi ndio maana unaona Eva alimuasi Mungu, kama mwanamke alimuasi Mungu wewe ni nani asikuasi ?!
Huyo huyo ambae haujawahi kumkuta hata na chembe ya ushahidi nakwambia wazi anae mchepuko au alishakua nae au hata kua nao. (Ukibisha ni sawa maana hauwezi kupata ushahidi wowote)
Wanamake wako makini sana sana katika kuficha michepuko nadhani ni kutokana na asili kwamba uzinifu ni kosa kubwa sana akifanya mke wa mtu ndio maana pia wanamake hua wako makini sana sana.
Mbinu za wanawake ni nyingi na zinatofautiana kulingana na mazingira. Wanawake tuna fantacy nyingi na moja wapo ni kumcheat mume na asijue.
Ngoja nikwambie sisi wanamake ni mabingwa wa maigizo na siku inachapwa na mwanaume mwingine katu huwezi kujua wala kuhisi. Na hiyo inamuongezea raha mwanamke.
Mimi mwenyewe hapa ukimwambia Mr wangu kuwa nilishamcheat atakukatalia kata kata hata jua lishuke ardhini lakini ukweli nishamcheat mara 3 yes mara tatu na hakujua na hata kuja kujua.
Nimekua naona humu wanaume mnavyojishaua mkidhani nyie pekee ndio mna cheat, aise sisi pia tuna cheat tena zaidi yenu LAKINI TOFAUTI NI HATUBWABWAJI KAMA NYIE.
Kama unanibishia mfuatilie mkeo anza taratibu na usijidanganye kwa kufuatilia simu yake tu. (Kama huna roho ngumu tulia mlee watoto lakizi ukijua K yake hua inachapwa).
Fuatilia mienendo yake hata kitu kidogo weka mashaka akienda kusuka kua na kamashaka, akienda kwa rafiki au ndugu weka mashaka kidogo fuatilia akienda kulipia kingamuzi kwa wakala weka mashaka fuatilia kimya kimya kweli alienda hapo tu.
Simu yake ina hitilafu anataka aipeleke kwa fundi weka masha ichukue tazama hiyo hitilafu asikuletee ujinga.
Je kuna simu ilipigwa wrong namba weka mashaka, kuna kitu aliletewa na rafiki yake anataka kukirudisha weka mashaka, anaumwa kaenda hospitali weka mashaka, kuna rafiki yake amechukizana nae na kufokeana kwenye simu anataka "akamchambe" weka mashaka.
Kuna mwammaume eti anamsumbua na amekwambia weka mashaka huyo ni mchepuko wake wamezinguana ila mwanaume kinganganizi,
Alienda sehemu na akatumia muda mwingi sana na aliporudi amekwambia alidondosha nauli ya boda kwa hiyo akatembea kwa miguu weka mashaka unachezewa michezo.
Saloon umeme ulikatika hivyo akachelewa kutengeneza nywele weka mashaka, anakupa simu uangalie kitu labda kichekesho fulani alafu anakuacha nayo weka mashaka hapo anakuset umwamini yeye ni msafi ila tayari mipango yake ashaiweka sawa.
Wale wa kishua sasa, Netflix yake inasumbua anataka akatazame kitu kwenye simu ya rafiki yake weka mashaka, alinunua kitu ila delivery hajafika labda kapotea ngoja amfuatilie mkuu weka mashaka,
Kila jumapili anakwenda kanisani lakini wewe hauendi si ndio, una uhakika wamasaa yoje 4 anakua kanisani usiseme anaendaga na watoto acha hiyo argument ya kijinga.
Amesahau kitu kazini ngoja arudi akatitafute haaa ha weka mashaka, alikwenda kwenye vikao na badae simu ilizima charge weka mashaka,
Gari yake imeharibika amekupigia anaweza kuchelewa mwambie akupe location umemrequestia bolt inayokewea na fundi kurekebisha, na bolt ikifika apande impeleke nyumbani gari italetwa na fundi.
Kuna GONO mkuuHivi hivyo vyote vya nini? Si anaiosha hiyo K mwenyewe na atampa anayependa kumpa. Shida zote za nini?