Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
😃😁😊😀👴😅Mleta mada kama ukiwa mkweli na upo willing kusema, hebu tuambie tokea mwaka uanze umem-cheat mmeo mara ngapi. Kuna kitu nataka nijue, ahsante.
😃😁😊😀👴😅Mleta mada kama ukiwa mkweli na upo willing kusema, hebu tuambie tokea mwaka uanze umem-cheat mmeo mara ngapi. Kuna kitu nataka nijue, ahsante.
NDIO MKUU NI WOTE, kiasili mwanamke sio mtiifu ni muasi ndio maana unaona Eva alikua wa kwanza kumuasi Mungu, kama mwanamke alimuasi Mungu wewe ni nani asikuasi.Ungeweka japo asilimia kuliko neno wote unajua maana ya wote...?
haaa haa ha haya sawa mara 1😃😁😊😀👴😅
Kuchapiwa Ni Siri Ya Ndanihaaa haa ha haya sama mara 1
huyo huyo muimba kwaya anaipeleka siku moja anakudanganya kaenda kwaza kuna kidume anai anaipa motoHapana, Ester wng kwanz Muimba kwaya
Tunajua sana, na tunajua kuwafuatilia bila nyie wenyewe kujua, na tunawafuatilia, mara nyingi ukweli wa mwanamke uko kwenye maneno yake mwenyewe, siri iko katika kitu ambacho anapenda kukizungumzia ,kinyume cha maneno yake ndio msingi wa siri yake.Huyo
Gari yake imeharibika amekupigia anaweza kuchelewa mwambie akupe location umemrequestia bolt inayokewea na fundi kurekebisha, na bolt ikifika apande impeleke nyumbani gari italetwa na fundi.
hata huyo wako muite hilo jina. HATA UKIKASIRIKA UKIPINGA HAIBADILI UKWELISio wote sio wote kama wew ni malaya na umalaya wako usitake wanawake wote %100 Useme ni wachepukaji..
Umalaya ni nini...?
umalaya ni kua na mwanaume zaidi ya mmoja
UKWELI MCHUNGU
Sema wanawake jau kwelhuyo huyo muimba kwaya anaipeleka siku moja anakudanganya kaenda kwaza kuna kidume anai anaipa moto
Wewe sasa unafahamu ukweli wa tabia za wanawake, wanajifanya wasafi katika maongezi yao lakini wanafunika hulka zao alisiTunajua sana, na tunajua kuwafuatilia bila nyie wenyewe kujua, na tunawafuatilia, mara nyingi ukweli wa mwanamke uko kwenye maneno yake mwenyewe, siri iko katika kitu ambacho anapenda kukizungumzia ,kinyume cha maneno yake ndio msingi wa siri yake.
Mfano ikitokea anakueleza umbea wa mke wa jirani anayependa kuchepuka ujue anajihakisi yeye mwenyewe, au anakupa stori ya kaka mmoja anayependa kutongoza wake za watu ofisini na kwamba yeye anachukizwa na tabia hiyo, ujue analalamika kuhusu mpenzi wake ofisini anayependa kutongoza wanawake wengine.
Ukiyageza maneno ya mwanamke unapata ukweli wake.
Pole mwaya. Kikubwa jijali wewe usijitoe sana kwa mwanamke.Sema wanawake jau kwel
Wengi wanajidanganya kama wewe. Mwanamke aliye above 35 leo nikuweke wazh NGONO HUA MOJA YA VIPAUMBELE KWAKE. Kataa kubaliKujumuisha wanawake wote kwenye umalaya huko ni kujipa matumaini tu, wapo wanawake wanaojiheshimu ngono sio kipaumbele kwao.
Na akiweka asilimia atueleze amezipataje na research kafanyia wapi.Ungeweka japo asilimia kuliko neno wote unajua maana ya wote...?
Najua lazima, ila nikijua nasubir siku tunafurah hatujakwazana af namm ndio najiachiaPole mwaya. Kikubwa jijali wewe usijitoe sana kwa mwanamke.