Right Flower
Senior Member
- Jul 9, 2026
- 157
- 292
- Thread starter
- #41
Malaya nimaewasanua mazoba mzue wanawake wote ni malaya lakini tunajifanya wema. Mkuu wanawake ni zaidi ya nyokaKwa mantiki hiyo wewe ni MALAYA pia !
Malaya nimaewasanua mazoba mzue wanawake wote ni malaya lakini tunajifanya wema. Mkuu wanawake ni zaidi ya nyokaKwa mantiki hiyo wewe ni MALAYA pia !
Kabisa..Na akiweka asilimia atueleze amezipataje na research kafanyia wapi.
Wewe umeona wanamake wamekuja kupinga hoja yangu ?! Je hiyo inakupa tafakuri gani ?Na akiweka asilimia atueleze amezipataje na research kafanyia wapi.
Endelea kujidanganya na kujipa matumaini ivo ivo, wapo wengi sana wanajitambua.Wengi wanajidanganya kama wewe. Mwanamke aliye above 35 leo nikuweke wazh NGONO HUA MOJA YA VIPAUMBELE KWAKE. Kataa kubali
Wewe umeona wanamake wamekuja kupinga hoja yangu ?! Je hiyo inakupa tafakuri gani ?! Je wewe unadhani unawafahamu wanawake kuliko wanavyojifahamu wenyeme ?Kama sio mwanaume wa ndoto zake kwa nini asiwe na mchepuko?
Kiuhalisia wanawake ni waaminifu linapokuja suala la mahusiano hasa wakiwa na wanaume wanaowapenda.
Tena kama hujampiga matukio ni ngumu mwanamke kukusaliti.
Wewe umeona wanamake wamekuja kupinga hoja yangu ?! Je hiyo inakupa tafakuri gani ?Endelea kujidanganya na kujipa matumaini ivo ivo, wapo wengi sana wanajitambua.
hakikaMbona hujata wale ambao Jumapili hufika kanisani kuweka ushahidi kwamba walikuwepo ila hutoroka Ibada kwenda ghetto la muhuni ngenya ikanyongwe? Wanaume wengi hawana time na Ibada hivyo Jumapili huwaacha huru wake zao wakidhani wanakwenda kumtumikia Mungu. Waulize hao wake zao waaminifu wana bodaboda wao special?
Nkua natafuta comment kama hii kujifariji😂😂Usiwasemee wengine, kama wewe una michepuko ni wewe si kila mwanamke ana hizo tabia
Sio Kila anaepinga atakuambia ni mwanamke, ondoka na hii kichwani kama wewe ulimcheat mumeo wapo wanawake wanajitambua.Wewe umeona wanamake wamekuja kupinga hoja yangu ?! Je hiyo inakupa tafakuri gani ?
Lazima mtapetape mwanamke mwenzenu kawakaanga bila wese.Usiwasemee wengine, kama wewe una michepuko ni wewe si kila mwanamke ana hizo tabia
na wengi hujikinga kwenywe kichaka cha "sio wote"Lazima mtapetape mwanamke mwenzenu kawakaanga bila wese.
Sasa mimi ntajua nani ni mwanamke humu wakati wote ni anonymous? Kama huu uzi kaanzisha mwanamke pia mimi ntajuajeWewe umeona wanamake wamekuja kupinga hoja yangu ?! Je hiyo inakupa tafakuri gani ?
kabisaHiyo mbona inaeleweka. Ndio maana simtilii maanani mke wangu hata aseme ananipenda vipi. Enzi hizo vijijini nishaona kwenye familia kadhaa mtoto wa katikati unakuta ni wa mzee mwingine na mzee mwenye mke anajua na ndoa haijavunjika.
Ndio maana nasema wanawake ni wale wale tangu enzi hadi sasa hawatofautiani. Wewe mwanaume kamata wa kwako mmoja muishi ila hata siku moja usije kumuamini 100%