Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Cycle of Michepuko
kumbe ni hapa hapa 😅
Wanawake wanaongoza kwa kubanjuliwa sana tuHuyo mwanamke unaemuamini sana, unampenda sana na anakupenda sana huyo huyo lazima anae mchepuko wake. (Ukibisha haibadili ukweli)
kiasili mwanamke sio mtiifu ni muasi ndio maana unaona Eva alimuasi Mungu, kama mwanamke alimuasi Mungu wewe ni nani asikuasi ?!
Huyo huyo ambae haujawahi kumkuta hata na chembe ya ushahidi nakwambia wazi anae mchepuko au alishakua nae au hata kua nao. (Ukibisha ni sawa maana hauwezi kupata ushahidi wowote)
Wanamake wako makini sana sana katika kuficha michepuko nadhani ni kutokana na asili kwamba uzinifu ni kosa kubwa sana akifanya mke wa mtu ndio maana pia wanamake hua wako makini sana sana.
Mbinu za wanawake ni nyingi na zinatofautiana kulingana na mazingira. Wanawake tuna fantacy nyingi na moja wapo ni kumcheat mume na asijue.
Ngoja nikwambie sisi wanamake ni mabingwa wa maigizo na siku inachapwa na mwanaume mwingine katu huwezi kujua wala kuhisi. Na hiyo inamuongezea raha mwanamke.
Mimi mwenyewe hapa ukimwambia Mr wangu kuwa nilishamcheat atakukatalia kata kata hata jua lishuke ardhini lakini ukweli nishamcheat mara 3 yes mara tatu na hakujua na hata kuja kujua.
Nimekua naona humu wanaume mnavyojishaua mkidhani nyie pekee ndio mna cheat, aise sisi pia tuna cheat tena zaidi yenu LAKINI TOFAUTI NI HATUBWABWAJI KAMA NYIE.
Kama unanibishia mfuatilie mkeo anza taratibu na usijidanganye kwa kufuatilia simu yake tu. (Kama huna roho ngumu tulia mlee watoto lakizi ukijua K yake hua inachapwa).
Fuatilia mienendo yake hata kitu kidogo weka mashaka akienda kusuka kua na kamashaka, akienda kwa rafiki au ndugu weka mashaka kidogo fuatilia akienda kulipia kingamuzi kwa wakala weka mashaka fuatilia kimya kimya kweli alienda hapo tu.
Simu yake ina hitilafu anataka aipeleke kwa fundi weka masha ichukue tazama hiyo hitilafu asikuletee ujinga.
Je kuna simu ilipigwa wrong namba weka mashaka, kuna kitu aliletewa na rafiki yake anataka kukirudisha weka mashaka, anaumwa kaenda hospitali weka mashaka, kuna rafiki yake amechukizana nae na kufokeana kwenye simu anataka "akamchambe" weka mashaka.
Kuna mwammaume eti anamsumbua na amekwambia weka mashaka huyo ni mchepuko wake wamezinguana ila mwanaume kinganganizi,
Alienda sehemu na akatumia muda mwingi sana na aliporudi amekwambia alidondosha nauli ya boda kwa hiyo akatembea kwa miguu weka mashaka unachezewa michezo.
Saloon umeme ulikatika hivyo akachelewa kutengeneza nywele weka mashaka, anakupa simu uangalie kitu labda kichekesho fulani alafu anakuacha nayo weka mashaka hapo anakuset umwamini yeye ni msafi ila tayari mipango yake ashaiweka sawa.
Wale wa kishua sasa, Netflix yake inasumbua anataka akatazame kitu kwenye simu ya rafiki yake weka mashaka, alinunua kitu ila delivery hajafika labda kapotea ngoja amfuatilie mkuu weka mashaka,
Kila jumapili anakwenda kanisani lakini wewe hauendi si ndio, una uhakika wamasaa yoje 4 anakua kanisani usiseme anaendaga na watoto acha hiyo argument ya kijinga.
Amesahau kitu kazini ngoja arudi akatitafute haaa ha weka mashaka, alikwenda kwenye vikao na badae simu ilizima charge weka mashaka,
Gari yake imeharibika amekupigia anaweza kuchelewa mwambie akupe location umemrequestia bolt inayokewea na fundi kurekebisha, na bolt ikifika apande impeleke nyumbani gari italetwa na fundi.
I like this observationHili wanaume tulishakubali kabisa.
Na kuna sheria yake kabisa kwamba;
The only hole a man enters alone is his grave. All the other holes are communal property.
Kuchiti ni uhuru wako wa kikatiba lakini endapo ikibainika, mahusiano na ndoa ndio GUDUBAIIII.
Mwanamke akikukamata una cheat?Wanawake wanaongoza kwa kubanjuliwa sana tu
Na si kwamba hatujui
Banjuliwa endelea kujificha na sina haja ya kukufuatilia we fanya utakanyo wewe
Ila siku nimekunasa live
Kwa heri tusijyane
Hapo anajua kweli ninakidume msamaha penzi penzini jipyaMwanamke akikukamata una cheat?
Nakubaliana na wewe ila hiyo si uache kazi ufanye kazi, maana ni shughuli kubwa ya kufuatilia huo mchongo, ndio maana huwa nasema kikubwa kuaminiana tu basiHuyo mwanamke unaemuamini sana, unampenda sana na anakupenda sana huyo huyo lazima anae mchepuko wake. (Ukibisha haibadili ukweli)
kiasili mwanamke sio mtiifu ni muasi ndio maana unaona Eva alimuasi Mungu, kama mwanamke alimuasi Mungu wewe ni nani asikuasi ?!
Huyo huyo ambae haujawahi kumkuta hata na chembe ya ushahidi nakwambia wazi anae mchepuko au alishakua nae au hata kua nao. (Ukibisha ni sawa maana hauwezi kupata ushahidi wowote)
Wanamake wako makini sana sana katika kuficha michepuko nadhani ni kutokana na asili kwamba uzinifu ni kosa kubwa sana akifanya mke wa mtu ndio maana pia wanamake hua wako makini sana sana.
Mbinu za wanawake ni nyingi na zinatofautiana kulingana na mazingira. Wanawake tuna fantacy nyingi na moja wapo ni kumcheat mume na asijue.
Ngoja nikwambie sisi wanamake ni mabingwa wa maigizo na siku inachapwa na mwanaume mwingine katu huwezi kujua wala kuhisi. Na hiyo inamuongezea raha mwanamke.
Mimi mwenyewe hapa ukimwambia Mr wangu kuwa nilishamcheat atakukatalia kata kata hata jua lishuke ardhini lakini ukweli nishamcheat mara 3 yes mara tatu na hakujua na hata kuja kujua.
Nimekua naona humu wanaume mnavyojishaua mkidhani nyie pekee ndio mna cheat, aise sisi pia tuna cheat tena zaidi yenu LAKINI TOFAUTI NI HATUBWABWAJI KAMA NYIE.
Kama unanibishia mfuatilie mkeo anza taratibu na usijidanganye kwa kufuatilia simu yake tu. (Kama huna roho ngumu tulia mlee watoto lakizi ukijua K yake hua inachapwa).
Fuatilia mienendo yake hata kitu kidogo weka mashaka akienda kusuka kua na kamashaka, akienda kwa rafiki au ndugu weka mashaka kidogo fuatilia akienda kulipia kingamuzi kwa wakala weka mashaka fuatilia kimya kimya kweli alienda hapo tu.
Simu yake ina hitilafu anataka aipeleke kwa fundi weka masha ichukue tazama hiyo hitilafu asikuletee ujinga.
Je kuna simu ilipigwa wrong namba weka mashaka, kuna kitu aliletewa na rafiki yake anataka kukirudisha weka mashaka, anaumwa kaenda hospitali weka mashaka, kuna rafiki yake amechukizana nae na kufokeana kwenye simu anataka "akamchambe" weka mashaka.
Kuna mwammaume eti anamsumbua na amekwambia weka mashaka huyo ni mchepuko wake wamezinguana ila mwanaume kinganganizi,
Alienda sehemu na akatumia muda mwingi sana na aliporudi amekwambia alidondosha nauli ya boda kwa hiyo akatembea kwa miguu weka mashaka unachezewa michezo.
Saloon umeme ulikatika hivyo akachelewa kutengeneza nywele weka mashaka, anakupa simu uangalie kitu labda kichekesho fulani alafu anakuacha nayo weka mashaka hapo anakuset umwamini yeye ni msafi ila tayari mipango yake ashaiweka sawa.
Wale wa kishua sasa, Netflix yake inasumbua anataka akatazame kitu kwenye simu ya rafiki yake weka mashaka, alinunua kitu ila delivery hajafika labda kapotea ngoja amfuatilie mkuu weka mashaka,
Kila jumapili anakwenda kanisani lakini wewe hauendi si ndio, una uhakika wamasaa yoje 4 anakua kanisani usiseme anaendaga na watoto acha hiyo argument ya kijinga.
Amesahau kitu kazini ngoja arudi akatitafute haaa ha weka mashaka, alikwenda kwenye vikao na badae simu ilizima charge weka mashaka,
Gari yake imeharibika amekupigia anaweza kuchelewa mwambie akupe location umemrequestia bolt inayokewea na fundi kurekebisha, na bolt ikifika apande impeleke nyumbani gari italetwa na fundi.
hakuna anaeshindanda ila tunaishi maisha yetu, agenda ni wanaume mnadhani wanawake hawatamani wanaume wengine TUNATAMANI SANA NA TUNARUKA NAO VIZURI TU
🙆🙆NDIO MKUU NI WOTE, kiasili mwanamke sio mtiifu ni muasi ndio maana unaona Eva alikua wa kwanza kumuasi Mungu, kama mwanamke alimuasi Mungu wewe ni nani asikuasi.
TrueHiyo mbona inaeleweka. Ndio maana simtilii maanani mke wangu hata aseme ananipenda vipi. Enzi hizo vijijini nishaona kwenye familia kadhaa mtoto wa katikati unakuta ni wa mzee mwingine na mzee mwenye mke anajua na ndoa haijavunjika.
Ndio maana nasema wanawake ni wale wale tangu enzi hadi sasa hawatofautiani. Wewe mwanaume kamata wa kwako mmoja muishi ila hata siku moja usije kumuamini 100%
Wewe ndio unaishi na amani ya kweli,ukifikiria sana hawa viumbe utakufa mapemaHivi ni mimi tu ambaye sina wivu wowote kwa kiumbe anayeitwa mwanamke au kuna wengine??
Mimi ukichepuka ni mpaka nikukamate hapo umeenda, nisipokukamata hata kuhisi au kukutilia mashska sihitaji kabisa
Unapoint mkuuCha msingi aniheshimu
Kinyume na hapo natafuta Mwanamke mwingine
Mkubwa naona unajitetea kijanja, ila kwa ground mambo iko tofauti sanaKama sio mwanaume wa ndoto zake kwa nini asiwe na mchepuko?
Kiuhalisia wanawake ni waaminifu linapokuja suala la mahusiano hasa wakiwa na wanaume wanaowapenda.
Tena kama hujampiga matukio ni ngumu mwanamke kukusaliti.