Haiondoi kiMi mke wangu ni wangu peke yangu. Matatizo yako baki nayo mwenyewe
Nani amekudanganyaMi mke wangu ni wangu peke yangu. Matatizo yako baki nayo mwenyewe
Always mwanamke akishajua hana sec chance aki mess up Wana behave right, but once akijua huwezi muacha au utamvumilia imeisha hiyoShida ni mnawategemea sana:
1. Kihisia.
2. Ki Heshima
3. Kijamii
4. Wengine hata ki uchumi.
Mwanamke kuchepuka sio shida kabisa, wewe kuwa tayari tu kumuacha the very same minute!
I am the value, I am a Man, I will never waste my time kutafuta pesa eti ku worry mke ana mchepuko.
Ni kwanini mnapenda kureflect mauvu yenu kwa watu wote? Hiyo generalisation uliyofanya umetumia vigezo gani?
Kwahiyo wanawake wote wana michepuko?Wanawake wote wanafanana
Tuwmbie tusichokijuaHuyo mwanamke unaemuamini sana, unampenda sana na anakupenda sana huyo huyo lazima anae mchepuko wake. (Ukibisha haibadili ukweli)
kiasili mwanamke sio mtiifu ni muasi ndio maana unaona Eva alimuasi Mungu, kama mwanamke alimuasi Mungu wewe ni nani asikuasi ?!
Huyo huyo ambae haujawahi kumkuta hata na chembe ya ushahidi nakwambia wazi anae mchepuko au alishakua nae au hata kua nao. (Ukibisha ni sawa maana hauwezi kupata ushahidi wowote)
Wanamake wako makini sana sana katika kuficha michepuko nadhani ni kutokana na asili kwamba uzinifu ni kosa kubwa sana akifanya mke wa mtu ndio maana pia wanamake hua wako makini sana sana.
Mbinu za wanawake ni nyingi na zinatofautiana kulingana na mazingira. Wanawake tuna fantacy nyingi na moja wapo ni kumcheat mume na asijue.
Ngoja nikwambie sisi wanamake ni mabingwa wa maigizo na siku inachapwa na mwanaume mwingine katu huwezi kujua wala kuhisi. Na hiyo inamuongezea raha mwanamke.
Mimi mwenyewe hapa ukimwambia Mr wangu kuwa nilishamcheat atakukatalia kata kata hata jua lishuke ardhini lakini ukweli nishamcheat mara 3 yes mara tatu na hakujua na hata kuja kujua.
Nimekua naona humu wanaume mnavyojishaua mkidhani nyie pekee ndio mna cheat, aise sisi pia tuna cheat tena zaidi yenu LAKINI TOFAUTI NI HATUBWABWAJI KAMA NYIE.
Kama unanibishia mfuatilie mkeo anza taratibu na usijidanganye kwa kufuatilia simu yake tu. (Kama huna roho ngumu tulia mlee watoto lakizi ukijua K yake hua inachapwa).
Fuatilia mienendo yake hata kitu kidogo weka mashaka akienda kusuka kua na kamashaka, akienda kwa rafiki au ndugu weka mashaka kidogo fuatilia akienda kulipia kingamuzi kwa wakala weka mashaka fuatilia kimya kimya kweli alienda hapo tu.
Simu yake ina hitilafu anataka aipeleke kwa fundi weka masha ichukue tazama hiyo hitilafu asikuletee ujinga.
Je kuna simu ilipigwa wrong namba weka mashaka, kuna kitu aliletewa na rafiki yake anataka kukirudisha weka mashaka, anaumwa kaenda hospitali weka mashaka, kuna rafiki yake amechukizana nae na kufokeana kwenye simu anataka "akamchambe" weka mashaka.
Kuna mwammaume eti anamsumbua na amekwambia weka mashaka huyo ni mchepuko wake wamezinguana ila mwanaume kinganganizi,
Alienda sehemu na akatumia muda mwingi sana na aliporudi amekwambia alidondosha nauli ya boda kwa hiyo akatembea kwa miguu weka mashaka unachezewa michezo.
Saloon umeme ulikatika hivyo akachelewa kutengeneza nywele weka mashaka, anakupa simu uangalie kitu labda kichekesho fulani alafu anakuacha nayo weka mashaka hapo anakuset umwamini yeye ni msafi ila tayari mipango yake ashaiweka sawa.
Wale wa kishua sasa, Netflix yake inasumbua anataka akatazame kitu kwenye simu ya rafiki yake weka mashaka, alinunua kitu ila delivery hajafika labda kapotea ngoja amfuatilie mkuu weka mashaka,
Kila jumapili anakwenda kanisani lakini wewe hauendi si ndio, una uhakika wamasaa yoje 4 anakua kanisani usiseme anaendaga na watoto acha hiyo argument ya kijinga.
Amesahau kitu kazini ngoja arudi akatitafute haaa ha weka mashaka, alikwenda kwenye vikao na badae simu ilizima charge weka mashaka,
Gari yake imeharibika amekupigia anaweza kuchelewa mwambie akupe location umemrequestia bolt inayokewea na fundi kurekebisha, na bolt ikifika apande impeleke nyumbani gari italetwa na fundi.
Uongo wa manzi ni biblicalHuyo mwanamke unaemuamini sana, unampenda sana na anakupenda sana huyo huyo lazima anae mchepuko wake. (Ukibisha haibadili ukweli)

Kwahiyo wanawake wote wana michepuko?
Hayo mengine hayahusiani kabisa na nilichoongelea.
Katika maisha yako umeshawahi fanya hivyo?Sema nini dudu jipya lina utamu wake yani .... ikipita hadi unafumba macho na miguu inaishiwa nguvu kabisa unahemea juu juu, miguno na viuno vya kutosha, hicho ndo kinafanya watu watafute watu wapya jamani,
Wanawake wanaowasaliti wanaume wenye haki ndo yanawapata hivyo.Unachosema ni sahihi, Mimi niliamini wakwangu mda sana, nikakuta wanamla, wala sikuongea, nikamwacha na wanawa nikaondoka!
Nikienda tu Shuleni kwa watoto kufuatilia Kili kitu, malipo, uniform na sister mmoja nikachukua namba yake nikamwomba anisaidie.
Nikiondoka Nika mblock for two years straight, no discussion, sitaki kikao, sitaki kitu, akitaka talaka nikaahidi kwenda.
Ni miaka 12 sasa, Mwanamke yule majuto aliyonayo natamani nikupe namba yake uongee naye, ameliwq, kachakaa, Hana Raha, ana vihela, anahonga Vijana tu!
Safi✌️Hivi hivyo vyote vya nini? Si anaiosha hiyo K mwenyewe na atampa anayependa kumpa. Shida zote za nini?
Mwanamke alipata stroke?Wa kwangu aliyafanya yote hayo, na sikujua. Lakini siku mchepuko wake ukajikuta una-chat na mimi akijua ni mke wangu! Sasa alichokosea yule mke ni kuzidi kumuamini yule bwana wake, hawakujua nilitunza vielelezo. Kwa kiburi cha yule mke hivi amepooza (stroke) yupo kwao. Hakuamini nilichokifanya.
Hivi wewe mke wa mtu utarukaruka, mara unatunza siri mara huyo mchepuko wako anakamatwa, anakutaja.
Usishindane na mumeo kuchepuka.
Mke anayechepuka analeta madhara zaidi ya mume anayechepuka.
yeye alivyo anadhani na wengine wako kama yeyeMi mke wangu ni wangu peke yangu. Matatizo yako baki nayo mwenyewe
Siyo wote wana tabia hizo, ni baadhi. Wapo waaminifu wachache. Hata ukiomba namba anakataa.Kwahiyo wanawake wote wana michepuko?