Wanaume ma bikira tukutane hapa

Tuendelee tu kuzitunza na pia tukiulizwa tusiseme tujifanye mapro[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Bikira

Bikira ni mwanamke yeyote asiyewahi kuingiliwa kijinsia na mwanamume. Kwa sababu hiyo kizinda kinacholinda tumbo la uzazi hakijaondolewa, bali kinabaki kama ushahidi wa hali hiyo.

Katika utamaduni wa makabila mbalimbali, kufikia ndoa katika hali hiyo ni jambo linalothibitisha msimamo wa mwanamwali unaotumainisha atakuwa mwaminifu kwa mume wake.

Haya nyie madume mnaojipambanua mabikira mtuambie vizuri.........
 
hv ukiwa hujadinya af we chaputa hapo bikra bado ipo?
 
Nmeamua kufuta comment yangu baada ya kusoma comenti hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…