Wanaume Manesi(wauguzi) wapo?

Wanaume Manesi(wauguzi) wapo?

paqwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
2,106
Reaction score
2,831
Leo ni siku ya wauguzi duniani, kwenye status zangu whatsapp naona wauguzi wa kike wakifurahi, na wakipongezwa na madaktari na watu wa jinsia zote. Ila nime notice mbona wauguzi wakiume hawafurahii siku yao? Au ndio madokta?
 
PHYSICS, CHEMISTRY, BIOLOGY (PCB)
TULIPENDA KUWAITA MANESI 😊🤣🤣🤣🤣
 
Wapo wanavaaga zile nguo za kijivu wengi wanapenda kujiita Doctor
 
Tupo wengi tu, na kwa taarifa kazi ya unesi ilikuwa ni kazi ya wanaume. Mambo yalibadilika wakati wa vita. lama siyo civil war ya Marekani basi ya kwanza ya dunia. Baada ya wanaume wengi kwenda vitani ikabidi wanawake wapige kazi ya unesi, ndiyo mwanzo wakuingi hiyo kazi wanawake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo ni siku ya wauguzi duniani, kwenye status zangu whatsapp naona wauguzi wa kike wakifurahi, na wakipongezwa na madaktari na watu wa jinsia zote. Ila nime notice mbona wauguzi wakiume hawafurahii siku yao? Au ndio madokta?
mkuu kama kuna wanaume wanaolewa manesi watakosaje
 
Nurse and midwife yaani Muuguzi na mke wa kati.Hongera zao kwa siku ya wauguzi duniani.
 
Jina nurse kwa jamii yetu limekaa kike, hivyo ni ngumu kwa bongo kukuta mwanaume akijiita nurse, ingawa wapo, na mimi ni mmoja wa watu niliowahi kupata taaluma hiyo, ila sijawahi penda hilo Jina

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Nilivyokua mdogo nikienda hospital kila mfanyakazi wa kike nilijua ni nesi na mwanaume ni dokta
Kilichoniaminisha zaidi ni ile nyimbo ya TMK wanaume kuna koras walisema "sisi madokta wao manesi"
Basi nikaendelea kuamini nesi ni mwanamke na dokta ni mwanaume kumbe hali haipo hivyo.

Mungu awabariki manesi na madokta wote wanafanya kazi nzuri.
 
Back
Top Bottom