Kumbe wapo? Shida iko wapi kwani wakijulikana?Wanaonaga aibu mpaka wazeeke zeeke kwanza
PHYSICS, CHEMISTRY, BIOLOGY (PCB)Leo ni siku ya wauguzi duniani, kwenye status zangu whatsapp naona wauguzi wa kike wakifurahi, na wakipongezwa na madaktari na watu wa jinsia zote. Ila nime notice mbona wauguzi wakiume hawafurahii siku yao? Au ndio madokta?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapo wanavaaga zile nguo za kijivu wengi wanapenda kujiita Doctor
mkuu kama kuna wanaume wanaolewa manesi watakosajeLeo ni siku ya wauguzi duniani, kwenye status zangu whatsapp naona wauguzi wa kike wakifurahi, na wakipongezwa na madaktari na watu wa jinsia zote. Ila nime notice mbona wauguzi wakiume hawafurahii siku yao? Au ndio madokta?
Mbona siwaoni au hawafahamiki, usikute tunawaita madokta huku kitaa!!Wapo wengi tu
Wengi hujitambulisha kama madoktaMbona siwaoni au hawafahamiki, usikute tunawaita madokta huku kitaa!!