Wanaume maskini, wenye elimu na upeo mdogo wa kufikiri kutoka jamii duni ndiyo hukataza wake zao kufanya kazi za Uzalishaji

Kwanini utenge kazi na mazingira
Unataka wanawake wafanye kazi sawa wanaume na kazi zozote
Sasa kwanini utenge vigezo vya kuwa kazini
Sijasema wanawake wafanye Kazi Sawa na wanaume(yaani kwa kujilinganisha)
Nazungumzia mwanamke afanye Kazi ya uzalishaji Ile anayoiweza kama vile wanaume wanavyofanya Kazi waziwezavyo.

Kwani Sisi wanaume tunafanya Kazi kwa kuangaliana? Kazi unayoiweza wewe sio ajabu Mimi nisiiweze. Na wote mbona ni wanaume?

Acha kupingana na nature
Mwanamke ni mzazi na mlezi wa familia
Aangalie watoto, mme na mali

Unajua maana ya nature?
Nature ndio inataka viumbe wote wafanye Kazi isipokuwa wale wasiofanya Kazi kwa sababu maalumu Kama ugonjwa, uzazi n.k
 
Mimi ni muislamu

Unapoita mambo ya imani kuwa ni ya kutunga nakosa namna ya kuendelea na mjadala huu kwa huko ndiko nilikoegemea kiimani..

Muislam anaambiwa ataoa mke kwa vigezo vinne.
Kati ya vigezo hivyo Mali ni kimojawapo.

Embu eleza mwanamke atapata wapi Mali bila ya kufanya Kazi?
 
Kila mwanamke aliyevunja ungo yupo kwenye hali ya uzazi
Kama sio muda huo ujue baaadae

Kazi ni nyingi
We unaona kazi ya kulea ni nyepesi, wakati hata me na wewe tumelelewa na mwanamke

Kazi yazi ya mwanamke haikupi utajiri wowote
 
Nafikiri wale watu waliosoma hawawezi pinga huu uzi,yani ni fact kabsa,ni wanaume tusio na elimu, wenye kipato duni,ndio wanawakataza wake zao wasifanye kazi,yan just imagine mtu maisha yake ni ya kukwangua badala akubaliane na mkewe wasaidiane kuleta maendeleo katika jamii,na ndio maana ya msemo usemao mwenye nacho huongezewa, respect kwa wale wanaume tuliokubali kuwaacha wake zetu wafanye kazi, unakuta mwanaume ni mwalimu na mkewe amemfungulia hata mgahawa,huu uzi uko very clear ikiwezekna uwekwe kwenye page za mbele kabisa ili watu wapate elimu hii adhimu kabisa
 
Ondoa shaka. "Namuagiza waziri mkuu na hili nalo akaliangalie"
 
Kila mwanamke aliyevunja ungo yupo kwenye hali ya uzazi
Kama sio muda huo ujue baaadae

Kazi ni nyingi
We unaona kazi ya kulea ni nyepesi, wakati hata me na wewe tumelelewa na mwanamke

Kazi yazi ya mwanamke haikupi utajiri wowote

Mkuu uzazi na kuvunja uongo ni Hali mbili tofauti.
Rejea kwenye biology.

Kulea sio Kazi.
Kulea inakuwa Kazi kama inafanywa na YAYA.

Mwanamke kufanya Kazi sio kwaajili ya kuwa tajiri Bali ni kwa Sababu Kazi ni IBADA.

Embu nambie kama mwanamke hafanyi Kazi atatoaje zaka kwa mungu wake?
 
Nakuelewaga Sana mkurugenzi lakini kwenye maada za ndoa bado bado

Utanielewa Mkuu siku binti yako aliyeolewa ambaye ni mama wa nyumbani akifukuzwa au mumeo akifa alafu anawatoto na hawezi kuwatunza watoto wake aliowazaa.

Utanielewa ukiondoa ubinafsi
 
Mbona hakuna ubaya wowote
Asee sio sawa. Mtoto kumwambia kauli kama iyo tayari umeshampa picha kuwa yeye si chochote zaidi ya kulea watoto na kukaa kusubir cha kuletewa. Ivi samia suluhu nae angeambiwa maneno kama haya angefika hapo alipo?
 
Mwanamke ni msaidizi wa mwanaume
Ndo maana nakwambia majukumu ya mama ni mzazi na mlezi
Mwanamke anakaa nyumbani anajali mifugo kwani mifugo sio pesa
Analeta watoto

Kumfanyisha kazi mwanamke ndo kumdhalilisha zaidi kuliko kumpa heshima
 
Asee sio sawa. Mtoto kumwambia kauli kama iyo tayari umeshampa picha kuwa yeye si chochote zaidi ya kulea watoto na kukaa kusubir cha kuletewa. Ivi samia suluhu nae angeambiwa maneno kama haya angefika hapo alipo?
Inatokana na mzazi mi ntakua nimeamua hivo ba sa100 aliamua hivo
 
"HILI NALO MKALITAZAME mchengerewa 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…