Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #101
Wewe jamaa saikolojia yako inakutuma vibaya. Kwahiyo wewe unajua sana kushinda Mungu aliyesema utazaa kwa uchungu. Maaana yake ni kuzaa na kulea. Na wewe mwanaume utakula kwa jasho. Ni kuipatia mahitaji familia.
Embu eleza kwa namna ipi mungu kusema Adamu ale kwa jasho kuna mkatazaje Mwanamke kufanya Kazi zisizotoa jasho au zisizotumia misuli(nguvu).
Embu kasome kutoka 20:8-10 alafu uone hiyo amri kaandikiwa mtu au kaandikiwa mwanamke u mwanaume au wote
Kwa mtizamo wako huu mbovu WAARABU wote ni maskini. Hii kazi inakushinda
Aliyekuambiwa waarabu hawafanyi Kazi ni Nani?
Asilimia 40 ya wateja wangu ni wanawake wakiarabu na wanafanya biashara huko mjini