Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #101
Wewe jamaa saikolojia yako inakutuma vibaya. Kwahiyo wewe unajua sana kushinda Mungu aliyesema utazaa kwa uchungu. Maaana yake ni kuzaa na kulea. Na wewe mwanaume utakula kwa jasho. Ni kuipatia mahitaji familia.
Kwa mtizamo wako huu mbovu WAARABU wote ni maskini. Hii kazi inakushinda
Hawa viumbe uhuru ukizid tegemea maajabu makubwa sana kwenye ndoa , hawa ni wakuwekewa mipaka na wakuchungwa nama mbuzi tu,
Vyote na viamini Quran na injili na torati.
Leo umenigusa jamaa!!
Mimi sijawahi mgomea mke kuanzisha biashara japo wakiwa na hela nyingi ninkipimo Cha urijali!!
Jiangalie, utakuwa na shida ya saikolojiaEmbu eleza kwa namna ipi mungu kusema Adamu ale kwa jasho kuna mkatazaje Mwanamke kufanya Kazi zisizotoa jasho au zisizotumia misuli(nguvu).
Embu kasome kutoka 20:8-10 alafu uone hiyo amri kaandikiwa mtu au kaandikiwa mwanamke u mwanaume au wote
Aliyekuambiwa waarabu hawafanyi Kazi ni Nani?
Asilimia 40 ya wateja wangu ni wanawake wakiarabu na wanafanya biashara huko mjini
Jiangalie, utakuwa na shida ya saikolojia
Kuna shida mahali. Nakushauri tu uachane na masuala ya kisaikolojiaSawa ntatumia Torati
Kutoka 20:8-11
Kutoka 20:8-11
Kutoka 20:8-11 BHN
BHNSUVNenoSRUV
“Usisahau kuiweka takatifu siku ya Sabato. Siku sita fanya kazi na tenda mambo yako yote. Lakini siku ya saba ni Sabato ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. Siku hiyo usifanye kazi yoyote, wewe, wala mwanao, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala watumishi wako wa kike, wala mnyama wako wa kufugwa, wala mgeni aliye nyumbani mwako. Maana kwa siku sita mimi Mwenyezi-Mungu niliziumba mbingu na dunia, bahari na vyote vilivyomo, kisha nikapumzika siku ya saba. Kwa hiyo mimi Mwenyezi-Mungu niliibariki siku ya Sabato, nikaitakasa.
Aya hizi kuna amri mbili, amri ya IBADA ya Kufanya Kazi kwa siku sita.
Amri ya pili ni mapumziko kwa siku ya sabato.
Amri zote hizo kaamrishwa Mwanadamu bila kujali ni wakike au wakiume.
Amri hiyo IPO kwenye amri kumi za Musa alizopewa Pale mlima Sinai.
Kuna shida mahali. Nakushauri tu uachane na masuala ya kisaikolojia
Sina ubinafsi wowoteUtanielewa Mkuu siku binti yako aliyeolewa ambaye ni mama wa nyumbani akifukuzwa au mumeo akifa alafu anawatoto na hawezi kuwatunza watoto wake aliowazaa.
Utanielewa ukiondoa ubinafsi
Waislam wamemchukulia mwanamke kama kitu Special ni zaidi ya Thamani ya kito chochote kile na ndio maana kwenye kurithi yeye anachukua nusu ndugu wa kiume anachukua kamili ili huyu kaka amtunze dada yake mpaka anakufa hii kwanza inaonyesha kuna sehemu kuna shida katika utunzaji wa Mali kwa Mwanamke na ushahidi hesabu mabilionea wa Dunia alafu angalia wanawake ni wangapi kwa hiyo kiasili mwanamke si mtafutaji ni mtafutiwa mifano iko mingi ila umeamua kuleta mifano ambayo ipo kwenye uzoefu wako ila sio AkiliSiku mmetalakiana hasa nyie waislam au umekufa, Mkeo umemuacha na watoto watatu wadogo Nani atawalea hao watoto wako?
Au unawaza utamu kama kijana aliyebalehe mwenye uchu wa ngono?
Waislam wamemchukulia mwanamke kama kitu Special ni zaidi ya Thamani ya kito chochote kile na ndio maana kwenye kurithi yeye anachukua nusu ndugu wa kiume anachukua kamili ili huyu kaka amtunze dada yake mpaka anakufa hii kwanza inaonyesha kuna sehemu kuna shida katika utunzaji wa Mali kwa Mwanamke na ushahidi hesabu mabilionea wa Dunia alafu angalia wanawake ni wangapi kwa hiyo kiasili mwanamke si mtafutaji ni mtafutiwa mifano iko mingi ila umeamua kuleta mifano ambayo ipo kwenye uzoefu wako ila sio AkiliSiku mmetalakiana hasa nyie waislam au umekufa, Mkeo umemuacha na watoto watatu wadogo Nani atawalea hao watoto wako?
Au unawaza utamu kama kijana aliyebalehe mwenye uchu wa ngono?
"Ujuaji mwingi huondoa maarifa"Basi kuona hivyo ukapiga marufuku mkeo kufanya Kazi?🤣🤣
Mkeo kama ni Malaya hata umfukie kaburini atalala na mizimu. Huwezi mzuia Malaya kufanya uchafu wake
Waislam wamemchukulia mwanamke kama kitu Special ni zaidi ya Thamani ya kito chochote kile na ndio maana kwenye kurithi yeye anachukua nusu ndugu wa kiume anachukua kamili ili huyu kaka amtunze dada yake mpaka anakufa hii kwanza inaonyesha kuna sehemu kuna shida katika utunzaji wa Mali kwa Mwanamke na ushahidi hesabu mabilionea wa Dunia alafu angalia wanawake ni wangapi kwa hiyo kiasili mwanamke si mtafutaji ni mtafutiwa mifano iko mingi ila umeamua kuleta mifano ambayo ipo kwenye uzoefu wako ila sio Akili
"Ujuaji mwingi huondoa maarifa"
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Vyovyote tu ila tusipangiane ndoa kimaisha.Bora aliwe na huyo au boda boda???
Asili ipi unaizungumzia?
Kumjua au kutomjua mwanamke kuna uhusiano gani na HAKI yake ya kufanya Kazi kama MTU?
Ujuaji sio msingi wa maarifa kijana, uwe unasoma maana za maneno katika kamusi. Ujuaji ni katika tabia mbaya na huzungumzwa vibaya, kujifunza ndio msingi wa maarifa.Na huwezi kujua bila kuwa na maarifa.
Ujuaji ndio msingi wa maarifa
Kwa uelewa wako Kazi zote zinamadhila au zinatumia nguvu?
Kwa uelewa wako lakini.
Kumaanisha tangu kuzaliwa na mazingira yako wewe umekutana na kuzijua tuu Kazi zenye madhila, vurugu na zinazohitaji misuli?