Wanaume maskini, wenye elimu na upeo mdogo wa kufikiri kutoka jamii duni ndiyo hukataza wake zao kufanya kazi za Uzalishaji

Wanawake hawajaanza kufanya kazi leo wala jana. Mimi nimekua nyumbani naona mama na baba dada na kaka wote asubuhi wanaenda shamba na hapakua na shida. Shida ni hawa wa kisasa ambao wakifanya kazi wanalipwa pesa. Wakilipwa wanaanza jeuri. Ndio maana wanaume wenye uwezo wa ku provide kila kitu ndani ya nyumba wanaona isiwe tabu baki ndani lea watoto.

Jamii za kiaravu wenzetu bado wana ule mfumo wa mwanamke kufanya kazi kwenye biashara za familia. Anazalisha na kuendeleza uchumi wa familia. Sio kuajiriwa kalipwe mshahara wake
 
Kule kwetu tunawaita masalia ya Waarabu sio waarabu kamíli
 
Kila mtu aishi anavyotaka yeye, hakuna formula ya maisha
 
Huna tofauti na wale wanaoamini kwenye mapenzi ya jinsia moja hivi we hujui kwamba Nature imetenganisha Dunia kutokuwa sawa kati ya Mwanaume na Mwanamke?Kiumbe mwanamke ameumbwa Special kwa matumizi maalum ila unajitoa ufahamu kwa kudhani kwako kwamba mambo yanaweza kuwa sawa hapa Duniani kati ya jinsi hizo mbili utakaa utachakaa ukisubili hilo litokee ebu kunywa maji mengi upumzike na Watibeli wenzio sawa Dogo letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…