Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Mwanamke ni kwa ajili ya kutunza watoto na kuweka mazingira sawa nyumbani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe huna akili, aya umeshinda.
Mkuu neno utamu umelielewa je? Mwanamke akifa awe anajua kazi au la ni Mungu tu ndo anasaidia wengi huolewa tena na mali zinamilikiwa na wanaume wapya, au zinauzwa kinacho tunza familia sio ujuzi wakufanya biashara wa mwanamke, ila ni akili na uthubutu kwa mwanaume......wengi wanafanya kazi ila maendeleo duni wengine masikini.
Ni wavivu tu ndio hupendelea pia wake zao wafanye kazi!Mwanamke ni kwa ajili ya kutunza watoto na kuweka mazingira sawa nyumbani
Leo umechemka big time. Huna takwimu unaongea vitu vya hewani visivyo na uthibitisho
Wewe ndo waajabu watu wanahama kutoka huko wewe ndo unaona kimbilio, kufanya kazi kwamwanamke kuna impact ndogo kuliko faida yake......chanzo cha broken families ndo moja matatizo hayoYaani Karne ya 21 ni ajabu kukuta bado kuna watu wenye mtazamo wa mwanamke asifanye Kazi za uzalishaji.
Ajabu sana
Kuna vitu unavijua,Takwimu ya nini Mkuu?
Ni wavivu tu ndio hupendelea pia wake zao wafanye kazi!
Uko sahihiNi wavivu tu ndio hupendelea pia wake zao wafanye kazi!
Mkuu maamuzi yake kwenye atakae muoa sio mimi kumuamlia. Ila jambo muhimu kwa mwanamke ni kutunza familia nyumbani sio kuzunguka barabarani kuuza bidhaa.Zama hizo zimepita Mkuu.
Yaani kama utakubali binti yako akiolewa asifanye Kazi aiseeh huyo binti atakuwa na bahati mbaya Sana kuwa na Baba wa aina yako.
Yaani binti ategemee ndoa kuendesha maisha yake?
Inasikitisha sana
Hayo ni mawazo yako, lakini siyo uhalisia! Angalia maumbile yako na ya mwanamke ni tofauti kabisa! Unafikiri ni kwa bahati mbaya?Mke kama Mke lazima afanye Kazi. Kwa sababu moja ya sifa kuu ya mke ni kufanya Kazi.
Kama hafanyi Kazi hawezi kuitwa mke ila wanamajina mengine
Wewe ndo waajabu watu wanahama kutoka huko wewe ndo unaona kimbilio, kufanya kazi kwamwanamke kuna impact ndogo kuliko faida yake......chanzo cha broken families ndo moja matatizo hayo
Mkui maamuzi yako kwenye atakae muoa sio mimi kumuamlia. Ila jambo muhimu kwa mwanamke ni kutunza familia nyumbani sio kuzunguka barabarani kuuza bidhaa.
Kwani lengo la kuoa ni kupata mshindani wa maisha rafiki yangu Robert mbona anataka ku-reason kama "feminist" wakati na kuaminia kwa mada zingine ila sio hi, hamna mwanaume anaependa ligi nyumbani kwake always husband is above a wifeFamilia zinavunjika kwa sababu ya akili za kibinafsi.
Wanaume tunapenda umungu mtu. Ndio maana wengi wanataka wanawake wasio na Kazi ili wawaburuze hata kwa mambo ya kijingajinga.
IPO wazi kuwa mwanamke akiwa na Kazi hawezi kukubali ujingaujinga au kuburuzwa kwa mambo ya kijinga na mwanaume.
Mfano, mwanaume umekosea au wewe unajipa uhalali wa kufanya uovu kwa gharama za uvumilivu WA Mkeo. Hiyo sio HAKI.
Ndio maana mwanamke akishakuwa na Kazi huwezi mletea upuuzi akakuchekea. Kama vile wewe ambavyo hutokubali Mkeo akuletee upuuzi ukamchekea.
Ni aidha ubadilike au ndoa ivunjwe na ndivyo inavyotakiwa.
Ndugu muandishi haya uliyoyaandika hapa yalipaswa kubakia kama mtazamo wako tu pekee na wengine mnaofanana kwenye mtazamo huo lakini sio kuwahukumu na kuwasema vibaya watu wengine ambao wapo kinyume na mtazamo wako kwani watu tumetofautiana kifikra.......
Lugha uliyotumia kama kichwa cha habari kimeshusha hata hadhi ya msingi wa hoja yako pengine ingekuwa na mashiko na kuchukua fikra za watu kama ingebakia kuwa mtazamo wako na watu watoe maoni Yao....
Hata hao wanaokemea wenza wao kufanya kazi na wao wana hoja zao za msingi na haziwezi kukubalika na wote kwani huo ndio ubinadamu wenyewe.......
Lugha uliyotumia unaonesha jinsi gani ubishani wako wa hoja ulivyo duni na unaishi kwenye boksi la fikra zako Tu........
MSAWAZO KWENYE JAMII INALETWA KUSHIMIANA NA KUKUBALI KUTOFAUTIANA PASI NA KUVUNJIANA HESHIMA...
Kwanini waachane hizo juhudi za kufanya kazi zielekeze kwenye upatanishaji wa ndoa wakae sehemu moja, usiwe hasi mkuu.Sio lazima azunguke kuuza bidhaa Kazi zipo nyingi.
Ndio maana tukasema kwa watu wabinafsi iko Sawa kwao.
Lakini kwa wababa wenye upendo na wanaojali hawatakubali kuona binti yao anaenda kuwa mtumwa wa mtu mwingine ambaye wanaweza kuachana muda wowote kwa kile kiitwacho ndoa.
Yaani binti yangu asifanye Kazi ili umtese Hilo labda niwe nimekufa kwa kweli
Kwani lengo la kuua ni kupata mahindani wa maisha rafiki yangu Robert mbona anataka ku-reason kama "feminist" wakati na kuaminia kwa mada zingine ila sio hi, hamna mwanaume anaependa ligi nyumbani kwake always husband is above a wife
Hiyo "Haki" ya kufanya kazi unaitoa kwenye kitabu gani?Mwanaume ni kichwa cha familia lakini hiyo haiondoi HAKI ya mwanamke kufanya Kazi?
Alafu ninyi ndio baadaye mnasema kwenye kugawa Mali wasipewe 50*50 za Mali. Alafu mliwazuia kutafuta Mali.
Hivi kuna ubinafsi na ukatili zaidi ya huo?
Kwanini waachane hizo juhudi za kufanya kazi zielekeze kwenye upatanishaji wa ndoa wakae sehemu moja, usiwe hasi mkuu.