Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Ulishawahi kujiwekea vigezo vya huyo "ke" unayeenda kuanzisha mahusiano naye? Jiulize na jiridhishe anafanyakazi au shughuri gani ili aweze kuishi! Wengi wao hawana kipato chochote zaidi ya kudanga au kufanya ufuska wa chinichini.
Hana kazi! Hana biashara! Wengine wanaishi na jamaa mbali kabisa na familia alimozaliwa na ukija kizembe anajishikisha kwenye familia fulani ya kishua ili akupige! Ukiingia kwa "ke" wa dizaini hii umepigwa! Jiulize wewe mwenyewe jinsi ulivyopambana mpaka ukapata unafuu wa maisha uliyonayo! Is it worthy" kukaribisha "ke" katika maisha yako asiyejua hela inatafutwaje?
Yaani unakaribisha "ke" asiyejua thamani ya maisha! Hujui kazaliwa, kulelewa na kukuzwa katika mazingira yapi? alafu unazoa kisa eti nimempenda na vijisenti vya kuzugia unavyo? Naandika uzi huu nikiwa nimeshuhudia jamaa/marafiki zangu wengi wakilia baada ya kuingia migogoro na wenza wao lakini ukiangalia chanzo ni zoazoa bila kuwa makini! Bora uishi bila mke kuliko kuingia chaka na "ke" ndio sio! Wanaume tuwe serious!