Wanaume matatizo mengine tunajitafutia wenyewe na yakitusibu tunaanza kulalamikia wanawake!

Sisi tunawapenda hivyohivyo ndio tupo nao kwenye huu ulimwengu ingali Tu Hai,,,Yale mambo ya Bikra 72 hatuyahitaji Kwa sasa Kwa kuwa hatuna nayo ushahidi hata kidogo Acha tuwafaidi hawa tuliobahatika kuwashuhudia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…