Wanaume mbona mnavamia lotion na perfume za kike

Wanaume mbona mnavamia lotion na perfume za kike

Hahaha. . . labda utumie jiki ndo mambo yatakua mambo.

Hhhhhm huko ndio kabisaaaa, bora Kurwa mara Elfu.

jiki inaunguza, mafuta ya breki ni mafuta dawa lol nmekumbuka mbali kweli....

Basi ntamwambia Matola hahahahahaha, hivi kilitokea nini bdae kati yenu?
 
jiki inaunguza, mafuta ya breki ni mafuta dawa lol nmekumbuka mbali kweli....

Basi ntamwambia Matola hahahahahaha, hivi kilitokea nini bdae kati yenu?
Mafuta ya breki yataongeza giza ila hayatatoa madoa.

Hehehehe kwani kulikua na nini?
 
Haya mambo bwana ako akitumia vipodozi vyako ndo uchukulie wanaume wengi siyakubali!!!kajitathmini kinaonyesha ni wanawake ndo hupenda. Kutumia perfume za kiume!lotion ntaunda tume kuchunguza kama kweli!
 
Wewe umekuja na mtazamo tofauti kabisa....wanawake wengi wanatumia perfumes za kiume kwa madai sio kali sana na wanavutiwa na harufu zake.
 
Unakuta njemba imejipulizia pafyum inanukia kama udi...nisivyopenda watu wanaonukia udi,alafu ukute udi umejimix na jasho..yani hatari tupu.
 
Back
Top Bottom